Naibu Waziri Mkuu?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,927
Mrema alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu Waziri Mkuu. Ingawa cheo hicho hakipo Kikatiba lakini Rais anaweza kukiweka kwani ana mamlaka ya kuunda Ofisi kwa Agizo la Kirais (Executive Order).

Kwa vile Waziri Mkuu aliyepita inaonekana alikuwa na matatizo mengi na kuingilia hata mambo madogo madogo, kuna uwezekano wa Rais kuunda cheo hiki tena ili kumpunguzia Waziri Mkuu majukumu kadhaa. Hata hivyo sidhani kama ana uwezo wa kuunda cheo pekee cha "Naibu Waziri Mkuu" bali anaweza kuunganisha nafasi hiyo na cheo cha Waziri Mwingine.

Hivyo sitashangaa akaunganisha (assuming anakiunda) ofisi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje au Waziri mwingine yoyote yule.
 
size nzima si imepunguzwa//
ahahahah mkuu sikuwezi///

lindi/rukwa connection
 
Mrema alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu Waziri Mkuu. Ingawa cheo hicho hakipo Kikatiba lakini Rais anaweza kukiweka kwani ana mamlaka ya kuunda Ofisi kwa Agizo la Kirais (Executive Order).

Kwa vile Waziri Mkuu aliyepita inaonekana alikuwa na matatizo mengi na kuingilia hata mambo madogo madogo, kuna uwezekano wa Rais kuunda cheo hiki tena ili kumpunguzia Waziri Mkuu majukumu kadhaa. Hata hivyo sidhani kama ana uwezo wa kuunda cheo pekee cha "Naibu Waziri Mkuu" bali anaweza kuunganisha nafasi hiyo na cheo cha Waziri Mwingine.

Hivyo sitashangaa akaunganisha (assuming anakiunda) ofisi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje au Waziri mwingine yoyote yule.

M.M.M,

Nadhani kitendo cha Ofisi ya waziri mkuu kuwa na mawaziri, wasaidizi kina maana hiyo hiyo ya naibu waziri mkuu, kwa maana nyingine waziri wa Tamisemi na Naibu waziri mkuu kwa mtizamo wangu.
 
Chief wa kijijini,

Executive orders kama hizi ndizo moja ya sababu zinanifanya binafsi kupendelea kubadilishwa kwa katiba. Kuunda kwa wizara mpya au cheo kipya isiwe kwenye dola ya Rais pekee, inatakiwa ichanganuliwe kisha ipitishwe na Bunge (lenye spika wa heshima na sio Sitta). Kutokuwa na utaratibu huu ndiko kumesababisha kutokuwa na consistancies za size ya cabinet na matokeo yake mambo mengine huzorota (mf. wizara ya michezo na utamaduni...mara iunganishwe na elimu, mara habari, mara iwe independent). Pia nachelea tukimpata Raisi fyatu, atatumia executive orders kuleta wapambe nuksi wake kuwa manaibu waziri mkuu, naibu waziri mkuu mwandamizi, etc na mwishowe taifa litaingia hasara kwa kuwapa marupurupu ya uwaziri mkuu pale isipokuwa na ulazima.

Tungojee tukiamka tuone kama Muungwana ameshabihiana na Pinda katika kushrink hiyo cabinet!
 
sidhani kama litawezekana,manaibu katibu mkuu katika ofisi ya pm ni 5,plus katibu wao..sidhani jambo hil4 kama linaweza kuhalalishwa ili khali mawaziri si watendaji ila wanasimamia sera ya C.C.M ya wafanyibiashara.
 
Mrema alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu Waziri Mkuu. Ingawa cheo hicho hakipo Kikatiba lakini Rais anaweza kukiweka kwani ana mamlaka ya kuunda Ofisi kwa Agizo la Kirais (Executive Order).

Kwa vile Waziri Mkuu aliyepita inaonekana alikuwa na matatizo mengi na kuingilia hata mambo madogo madogo, kuna uwezekano wa Rais kuunda cheo hiki tena ili kumpunguzia Waziri Mkuu majukumu kadhaa. Hata hivyo sidhani kama ana uwezo wa kuunda cheo pekee cha "Naibu Waziri Mkuu" bali anaweza kuunganisha nafasi hiyo na cheo cha Waziri Mwingine.

Hivyo sitashangaa akaunganisha (assuming anakiunda) ofisi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje au Waziri mwingine yoyote yule.

Sijafahamu kusudio la hii posting? naomba fafanuwa
 
Kitendawili hichi? Membe deputy. whaat? Assuming!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom