Naibu waziri Masauni: Serikali itafunga kamera za usalama barabarani

Kwanini wameng'ang'ania vituo vya ukaguzi kuwa kama utitiri halafu havina camera? Utajifunza kuwa kuna biashara nyingine kabisa inaendelea kiujanjaujanja, kwa wingi wa mapendekezo yaliyopo kwenye usi huu ni dhahiri yangefanyiwa kazi tusingekuwa na ajali na uhalifu kwa kiasi kilochopo sasa.

Wimbo wa kunyang'anya leseni tumezaliwa tukiusikia na tunazeeka tukiusikia, labda mwenye kunyang'anya awe Magufuli mwenyewe, hawa wengine tusitegemee, hebu tuombe takwimu mpaka sasa wangapi wamenpokonywa leseni au kushushiwa madaraja yao.
Kuwepo kamera ni jambo moja,na kamera kufyokochokewa ni jambo lingine,kuna matukio zitasaidia lkn mengine hazitasaidia,alipopigwa lissu pana kamera,zimeonesha nini,
Alipotekwa Mo pana kamera zimeonesha nini,
Alipojiua sista mwanza pana kamera,zimeonesha nini,
Unajifunza nn juu ya haya,
 
Najifunza mfumo wetu ni anticamera
 
Back
Top Bottom