Naibu Waziri: Marufuku kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh Ulega amesema ni marufuku kwa watendaji kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona.

Naibu waziri amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa soko la ferry jijini Dar na amewataka kuzingatia masharti ya ugonjwa huo.

Source: ITV
 
johnthebaptist,
Unajiuliza corona had imefika USA Africa iwe ilichelewa kufika?
Et April ndo kutakuwa na mlipuko ..... Wacha shughuli ziendelee maana hata zikizuiwa umeshafika na uwezo wa kupambana nao hatuna .... Itoshe tu Tufanye tunajua style yetu ya umavumbi
 
Back
Top Bottom