Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

Muangalie tena January usoni kwenye hiyo picha...Ni kweli anafurahia kuwa katika usafiri huo !? nahisi kama anamkaripia huyo anayempiga picha akiwa kwenye usafiri huo.
 
Angekuwa kiongozi yoyote wa cdm,asingethubutu kupiga picha kwenye bajaji ya rangi ya kijani au njano!
 
Kama mtu sio muadilifu alafu analala juu ya mti na kuvaa magome ya mti na kula mizizi na matunda ataendelea kuwa sio muadilifu tu.
Huyu January hata akila yale makande yanayouzwa kwenye ndoo bado tutaendelea kumuona ni fisadi mtoto na mwevi kwa sababu kweli mtu huyu ni mwevi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
..Mi nilidhani ni utani tu kumbe kweli hata yeye anautaka urais!? 2015 kuna kuna kazi!
 
Back
Top Bottom