Naibu waziri elimu achemsha tena Mbeya

ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,215
327
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.
 
Habari wana jf...
Kwa mara nyingine tena ndugu philipo mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu tukuyu akiwa sihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zap.
Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao. Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.
View attachment 125555

Huu na ni weledi
 
Hahhahahaha just a slip of tongue
Habari wana jf...
Kwa mara nyingine tena ndugu philipo mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu tukuyu akiwa sihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zap.
Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.
 
Katuni+PINDA.jpg
 
Aaaahaa huyu Mulugo sasa,hipo siku atasahau hata nini majukumu yake na ni wizara hipi anatumikia.
 
Am sure uko kama Mulugo .Kwani that guy si alivamiwa na CCM au unataka kusema alianza kupigana na mtu ? That pic has no connection na kilicho mwagwa hapa mkuu.

Unajua kuna watu hujibu jambo tofauti na alichoulizwa huyu nae anafanana sana nakakaake mmilitia.
 
Back
Top Bottom