Naibu waziri anapoacha kifua wazi sijui nani akishike?

kwaa maana hiyo makame alaaniwe kwa hili??mkuu

Alaaniwe sana si kidogo kwa kweli. Noma sana watanzania wote sasa tunaonekana hamnazo tena majirani zetu ndio wanatunanga kweli. Na ukiangalia kwa makini ipo sababu ya wao kutudharau, kama top kabisa wa nchi anafanya mambo ndivyo sivyo what do you expect kwa mwananchi wa kawaida wa kule Nanjilinji? Hii yote kasababisha jaji mstaafu.
 
Joto!!!!!!!!!!!!

hivi haya mapete makubwa wanavaa kulia na kushoto yanaamaana gani jamani makubwaaaaaa nikimaanisha
hata sharobaro wao anarangi jeusi na kijan mara moja moja nadra kukuta ana vaa ya gold
wana siri gan hawa
 
Alaaniwe sana si kidogo kwa kweli. Noma sana watanzania wote sasa tunaonekana hamnazo tena majirani zetu ndio wanatunanga kweli. Na ukiangalia kwa makini ipo sababu ya wao kutudharau, kama top kabisa wa nchi anafanya mambo ndivyo sivyo what do you expect kwa mwananchi wa kawaida wa kule Nanjilinji? Hii yote kasababisha jaji mstaafu.

rekebisha usemi

jaji mchafuuu!!
 
Mzee wa Ban hebu mjadili mtu na usijadili iman za watu, mbona Mrema anavaa na sio muumini wa hiyo Dini?acha udini wewe
 
vikoti ushamba hivi, vya enzi kabla ya mwara 47, nashangaa bado vipo, hajui kukunja tai, lakini si hata japo angetanguliza tshirt? uvaaji wa viongozi wetu ni wa aibu duniani.
 
Tatizo kubwa mmesikia katibu wa bunge anaomba hawa maalum wapoteezewe kabisa
wakiwa dom hivi vibinti vinawachezea sana kwenye magari so wanakuwa wanajisahau wakirudi dar shame on them uvccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom