Naibu waziri anapoacha kifua wazi sijui nani akishike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri anapoacha kifua wazi sijui nani akishike?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pdidy, May 3, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,421
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  HIVI MAMA ANA MAKINDA EMBU WAFUNDISHEN JINSI YA KUVAA HAO WABUNGE WENU JAMANI NIMEKUONA KWENYE TV UNA WAAMBIA WATOTO WA SHULE MNA MWEZI WA KUJIFUNZA MAADILI YA BUNGE KABLA YA KUANZA TENA EMBU HILI LA MAVAZI NAOMBA TOPIC YAKE KAMA UTAPENDA KUNIKARIBISHA NI PM MAMA..KUACHA VIFUA WAZI KWENYE MAKONGAMANO WAKUBWA KWA WATOTO MNATUFUNDISHA NINI WENGINE WAMEZOA KUONA NYWELE KICHWANI WANAPOONA KIFUANI SI WANAWEZA KUKIMBIA WATOTO ZETU NAKUULIZA MBONA YULE ANA VICHWA VIWILI BABA

  [​IMG]
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  angalia kwanza alichovaa kichwani kwake, then tafakari.
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  uSTAARAbu si asili yao waleeeeeee..........
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  heeeee!! Mhhh!
   
 5. B

  Bobby JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Halafu haya mambo safi sana ni kama vile kuna link fulani ama correlation kwa wataalamu wa hesabu. Huyu jamaa anavyojipresent ndivyo hata uwezo wake upstairs ulivyo, shame on him kwa kweli.
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hivi visuti vinauzi kweli kweli
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kosa ni Yule aliyemteua!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,421
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  umeonaa yaani anavyoonekana na akili zake sawa sawa angalia alivyo vaa utasema amekimbizwa kaributena guest house pale sinza mapambano
   
 9. i411

  i411 JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ameazima hakujua kama rz1
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,421
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Nilijua wabunge wanawake wanaacha miili yao wazi kumbe na wanaume loh!!!
  Napita tu
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,421
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanaambiwa wanajiuza bungen kwa kuvaa vile na wanaitwaga &***(((

  hawa wanaume wanaitwa nani???????
   
 12. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Joto!!!!!!!!!!!!
   
 13. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Picha nzima namwona dada mmoja tu
   
 14. B

  Bobby JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hayo macho yako yanashida tena hufai kabisa kwenye unit yetu ya intelijensia. Hapo kuna wadada wasiopungua wa3. Au huyo mmoja uliyemwona ni hiyo rangi yake nini?
   
 15. B

  Bobby JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Ni kweli Rev ila pia aliyemchagua hana makosa pia ndio uwezo wake ulipofikia hapo, anafanana nao hao wateule wake. So kosa ni letu tuliyemchagua aliyewateua, no lakini pia hatukumchagua inasemekana NEC ilifosi, basi mzee Makame ana kesi mbaya sana ya kujibu.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,421
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  kwaa maana hiyo makame alaaniwe kwa hili??mkuu
   
 17. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Na hiyo mipete , mbona mingi hivo, au ndo Mtabiri wao amemvalisha?
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sioni tatizo hapo!
   
 19. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Samahani mkuu nilikuwa najoke tu. Suala kubwa ni watu kujijua ni akina nani na wanatakiwa kuishi vipi. Mtu kama hatambui uzito wa nafasi yake anaweza kuwa anafanya vitu visivuoendana na wadhifa wake.
   
 20. P

  People JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inaonekana unazifahamu gesti!!! Nitajie nyingine...
   
Loading...