Naibu waziri aliyesema kuolewa lazima uwe na cheti cha form 4, adai hakusema ivyo kanukuliwa vibaya

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Habari ya Azam tv waziri wa tamisemi Jaffo amedai kuwa naibu waziri wake kanukuliwa vibaya au hakuekeweka vizuri

Na waziri kasema vyombo vya habari ndio vimesambaza maneno hayo yasiyo na ukweli.

Baadae azam wakarudia alichokisema naibu huyo. Hapo nikaamini serikali kukiri kosa ni shida kwao hata kama ushahidi uko wazi. Sasa yale ya siri watakubali?
 
Nilijua tu watakuja ivi, bado ile memo yao ya serikali, yenye chapa ya ofisi ya raisi haijaanza kusambaa kwenye social ntwrk
 
Habari ya Azam tv waziri wa tamisemi Jaffo amedai kuwa naibu waziri wake kanukuliwa vibaya au hakuekeweka vizuri

Na waziri kasema vyombo vya habari ndio vimesambaza maneno hayo yasiyo na ukweli.

Baadae azam wakarudia alichokisema naibu huyo. Hapo nikaamini serikali kukiri kosa ni shida kwao hata kama ushahidi uko wazi. Sasa yale ya siri watakubali?
Azam imewavua nguo waziri na naibu wake.
 
awamu feki kabisa kupata kutokea katika historia ya uongozi wa nchi ya
loading...
 
Bavicha hawataki shule wanataka kuolewa tu. wana aleji na madarasa.
 
Kutojipanga kunawagharimu sana awamu hii.
Matamko yamekuwa mengi, makanusho na ufafanuzi mpaka kero!
 
watu wengi ni wagumu kuelewa alichomaanisha ni kuwa wanaofungisha ndoa wawe makini maana kuna wengine wanafungishwa ndoa wakati bado wako shuleni au walitakiwa kuwa shuleni
 
Wavulana walio mahusiano ambao badovitu havijaeleweka.....wanashangilia.....!!! Bila cheti huolewii!! Mmeipenda wenyewe!! Nenda QT
 
Mawaziri wa magu wangepumzika kwanza kumwabudu Mungu mpaka watakapo kuwa sio mawaziri ndo waendelee na ibada, maana kama kutosema ukweli au unafiki ni dhambi basi hawa mawaziri hawataona pepo wakiwa katika nyadhifa hizo.
 
Back
Top Bottom