Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.

kama ameibiwa yale mapete yake ya sheikh yahaya ndo kwisha unaibu waziri na ubunge pia
 
Mkuu siku hizi wanaweka mambo kwenye shakula ya mtoto, ukijifanya kula ile shakula tu basi hata huwezi kugonga wanajichukulia kwa ubuuuwa na unakuwa kama umepewa dawa ya usingizi kabla ya kufanyiwa upasuaji. Utalala wewe masaa zaidi ya kumi. Nina shaka kama alishtuka mwenyewe ama walienda kumgongea baada ya kuonahatoki. Wakome!

Unamaanisha yawezekana waziri wakati anatafuna alinyonya nyonyo ya mtoto kwa hiyo maziwa yaliyo toka yamemwathiri hivi?
 
Habari hii imerekodiwa toka Kipindi cha Mchana huu cha TBC Taifa

Amevamiwa? Amevamiwa? Na majambazi wenye silaha? Hotel ilitekwa? Nani aliumizwa kwenye hilo vamizi?

TBC wamesema amevamiwa? Amevamiwa au amejivamia?
 
mbona gari yake ya unaibu waziri iko DAR nimepark pembeni yake karibu
na askari monument majira ya saa 5 asbh!
Itakuwa kaacha gari kaenda kula bata badala yake kaliwa yeye!!!!:hand:

kaliwa tena ? fafanua kaka ..hawa wezi mafedhuli kweli ..yaani wanaml mtu mkubwa hivi aisee
 
Mkuu siku hizi wanaweka mambo kwenye shakula ya mtoto, ukijifanya kula ile shakula tu basi hata huwezi kugonga wanajichukulia kwa ubuuuwa na unakuwa kama umepewa dawa ya usingizi kabla ya kufanyiwa upasuaji. Utalala wewe masaa zaidi ya kumi. Nina shaka kama alishtuka mwenyewe ama walienda kumgongea baada ya kuonahatoki. Wakome!

Kimbunga huu msamiati mimi umenishinda kuutegua, unawe kufafanua?, au kama ni too graphic ni-pm mkuu. Ila na sisi wanaume kweli ni manyang'au. Yaani unachukua dude hulijui unalala nalo aaarrg, ingekuwa nchi za wawajibika huyu alikuwa anakabidhi barua ya kujiuzulu leo. Maana amekopa Public trust, ila kobongobongo twende kazi tu maana mteuliwa unaweza kuta ni reflection ya mteuzi.
 
Amevamiwa? Amevamiwa? Na majambazi wenye silaha? Hotel ilitekwa? Nani aliumizwa kwenye hilo vamizi?

TBC wamesema amevamiwa? Amevamiwa au amejivamia?

wanajua ishakuwa soo ndiyo maana wanabadilisha ishu hata hivyo ukweli umeshajulikana.
 
"Kuna Waziri mmoja huko Uingereza alionekana akipitapita mitaani na akina mama, basi habari zikaenea na huyo waziri akaamua kujiuzulu. Alimwandikia Waziri Mkuu barua ya kuomba kujiuzulu, kwa jinsi Waziri Mkuu alivyokasirika hakumjibu alimteua mtu mwingine kuchuakua mafasi yake." Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1995): Akiongelea uadilifu wa Viongozi wetu.

Sijui Rais atakasirika kiasi gani.

[h=1]David Mellor -[/h]n July 1992, Mellor was involved in a kiss and tell scandal in which actress Antonia de Sancha sold her story of Mellor's extra-marital affair with her, for £30,000. Their conversation had been secretly recorded by de Sancha's landlord, an activity which is legal in England.[SUP][5][/SUP]. The Sun, relying on a story supplied by publicist, Max Clifford, reported that Mellor had asked to make love to de Sancha while wearing a Chelsea F.C. replica kit. It was also reported that de Sancha had sucked Mellor's toes.
 
Kimbunga huu msamiati mimi umenishinda kuutegua, unawe kufafanua?, au kama ni too graphic ni-pm mkuu. Ila na sisi wanaume kweli ni manyang'au. Yaani unachukua dude hulijui unalala nalo aaarrg, ingekuwa nchi za wawajibika huyu alikuwa anakabidhi barua ya kujiuzulu leo. Maana amekopa Public trust, ila kobongobongo twende kazi tu maana mteuliwa unaweza kuta ni reflection ya mteuzi.

mtu wa machangu utamjua tuu
 
Habari nilizozisikia mwenyewe toka Radio One Stereo ni kwamba Naibu Waziri wa Nishati na Madini Ally Malima, ameibiwa kila kitu katika hoteli moja huko Morogoro.
Taarifa zinasema kuwa hata nguo alizovaa sasa amekirimiwa na Wasamaria. Habari hizi zimethibitishwa na Meneja wa Hoteli hiyo Eustace Mutua, ambaye ni Mkenya.
Source: Breaking News saa 7 mchana Redio One Stereo!

HAO NI WANA CCM WENZAKE wamechukua CHAO MAPEMA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Atakuwa alilala uchochoroni ili mambo yake yasionekane yakamkuta yaliyomkuta kwa sababu haka kajamaa kanaonekana kana tabia fulani kutokna na kucheka cheka na akina mama mara kwa mara
 
Mbaya zaidi isiwe kampiga picha chafu mzee wa watu. Hii itakuwa scandal la mwaka zikianikwa kwenye mtandao.
 
Unamaanisha yawezekana waziri wakati anatafuna alinyonya nyonyo ya mtoto kwa hiyo maziwa yaliyo toka yamemwathiri hivi?
Siyo maziwa mkuu wanapaka mapowuuuda kwenye nyonyo; ukijifanya mtoto ukajinyonyea haki yako ni usingizi wa pono unalala si chini ya masaa kumi. Unawapa wasaa wanakusaula kila kitu na wanaondoka zao. Huwa ni kakikundi fulani. Wengine huwa wantega hotelini hadi wakamate windo. Anaweza akawa anaishi na kulipa chumba kwenye hoteli kubwa ila siku akipata windo kama hilo ndio ametoka! anajilipa kila kitu.
 
Hahahaha huu mchezo upo sana hata toto tundu za Buguruni, Temeke, Manzese na Mwananyamala zinatumia sana ukifika dau la kulala nae
 
Unajua nini kimefanyika hapa, yule mdada aliyekuwa naye kama hakumuwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji basi kapakaa kwenye mati** na wanaume wanavyopenda kunyonya na kulamba kila mahali basi malima ikawa kwisha habari yake.

Ashukuru mungu mdada kajipaka dawa ya usingizi, next time atajikuta Apolo -huku ngozi ikitoa mba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom