Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Wee historia hujirudia sasa ni zamu yao kuibiwa wameshaiba sana na bado
 
anasema hajawai kuona aibu kama jana sasa sijui hii ya morogoro kasahau. Kama kuna mtu anayo namba yake amkumbushe
 
Huyu Bwanamdogo Malima ...ni Kati ya MAWAZIRI wazembe kabisa..na wahuni wasio jitambua.....Hili Tukio la mwaka Jana la kuibiwa kila kitu na Changudoa lilitosha kabisa kumfukuzaa Kazi .....
Nimeangalia Gazeti la Uhuru limemtaja Kama Moja wa MAWAZIRI mzigo kwa Ccm ambao imependekezwa...wafukuzwe kazi na Rais....
hawa ni MAWAZIRI vijana ambao wamewaangusha kabisa vijana...Huyu kwa tabia Hana tofauti na madhayo david ...tofauti ni kuwa Wakati Mathayo ni mfanyabiashara zaidi ...,na Mara nyingi hata Wakati wa kazi utamkuta kwenye bar Zenye vidosho..mwenzake Adam naye ni Mpiga Deal ....na Uhuni wake huufanya kwa kujificha Kama mtu wa dini....Wakati usiku yupo busy na Changudoa ..

Ni vema mapendekezo ya CC yafuatwe kwa MAWAZIRI wote waliotajwa.....hawa wawili nimewaongelea kwa kuwa ...uzembe wao pia unaendana na mmomonyoko wa MAADILI ...
 
haya ndo majembe ya jk. Anafurahia watu wa cv hizi akina nchemba, na akina nkamia na malima. Poleni wadanganyika
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
aisee! Laki nne kwa siku?

Kazi ipo kwa wavuja jasho!
 
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
Kuelekea 2015 tutaona mengi. Mungu hamfichi mnafiki!! That is exactly work of our God. Sala zetu
zita endelea kujibiwA na Mungu hadi September 2015 full picture ya viongozi wetu itakuwa hadharani hivyo kuwapa WaTz fursa ya kuziteketeza pumba
 
Huyu ni mmoja kati pumba/misukule ya baba rz 1, awamu ya 2 hiyo hajajifunza tu, tatizo anaendekeza sana kama kabalehe juzi, huu ndio mji kasoro b, ni nouma hata waziri j4, walimchezaga oasis pale lakini aliyadhibiti hayakuvuma sana, ingawa alilia kama ka bebii, take care!
 
haya bhana .... umeshapata vitu ulivyoibiwa?

ndiyo maana siri nyingi za nchi huvuja na hawa mal administrators wapo tuu wanavinjari
 
Huyu Bwanamdogo Malima ...ni Kati ya MAWAZIRI wazembe kabisa..na wahuni wasio jitambua.....Hili Tukio la mwaka Jana la kuibiwa kila kitu na Changudoa lilitosha kabisa kumfukuzaa Kazi .....
Nimeangalia Gazeti la Uhuru limemtaja Kama Moja wa MAWAZIRI mzigo kwa Ccm ambao imependekezwa...wafukuzwe kazi na Rais....
hawa ni MAWAZIRI vijana ambao wamewaangusha kabisa vijana...Huyu kwa tabia Hana tofauti na madhayo david ...tofauti ni kuwa Wakati Mathayo ni mfanyabiashara zaidi ...,na Mara nyingi hata Wakati wa kazi utamkuta kwenye bar Zenye vidosho..mwenzake Adam naye ni Mpiga Deal ....na Uhuni wake huufanya kwa kujificha Kama mtu wa dini....Wakati usiku yupo busy na Changudoa ..

Ni vema mapendekezo ya CC yafuatwe kwa MAWAZIRI wote waliotajwa.....hawa wawili nimewaongelea kwa kuwa ...uzembe wao pia unaendana na mmomonyoko wa MAADILI ...
Kuna Mawaziri hata wafanye nini wao hawaguswi hata walalmikiwe vipi. mmoja wapo ni huyu, mwingine ni Shukur Kawambwa, Mwingine ni Hawa Ghasia ndio kwanza alisifiwa kwa kufana kazi vizuri. mwingine ndio huyu malima hata muandamane nchi nzima hatoki huyu.
 
Uzao wa panya,... Hii inapatikana Tanzania tu tena kwenye utawala wa Prof. Dr. Kikwete
 
hata ulinzi hakuwa nao naibu waziri.. huyo ni nyara ya serikali mbona aibu kubwa ivyo.............
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

Manjagu bado yanafuatilia issue hii nzima!

Source: Radio One, muda 13:14 pm

Hoteli yenyewe ndio hii hapa kama inavyoonekana

View attachment 48953

Hii hapa tena

View attachment 48954

kwa mlinzi getini

View attachment 48955

WAZIRI+MALIMA+KWENYE+KANZU..JPG
mbona dirisha lenyewe,halionekani kuvunjwa au forced entry?? au sio lenyewe??? nimeitoa kwa michuzi loh
Kweli madaraka kitu kibaya. Mkoloni mweusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom