Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Watavuna walicho panda...wao kilakitu wanachukulia siasa.tuone kama atalala juu ya mawe tena.
 
Weka Karantini wote hao haraka sana, hakuna kutoka. Hawa jamaa uwakilishi wao kwa wananchi does not involve Corona..., sijui na kwanini walishindwa kufanya Bunge kwa kutumia telecomference wakiwa majumbani kwao...
 
Taarifa ya wizara -afya vipiw,mbona kimya. Mh Ndugulile kapasau jipu kuhusu barakoa,kuwa ni "surgical masks" na " N95" ndo zimethibitishwa kuwa zinafaa kuthibiti virusi vya corona.

Walikuwa wanafanya siasa kwa maisha ya watu,eti tujifunike pua kwa kanga na vitenge. Mama Ummy naye naona amegoma kutoa namba za kupika, amesema kaamua kusema ukweli.
 
Papaa Mobimba,
Inawezekana amekaa nayo zaidi ya wiki na inabidi wabunge waliokutana naye nao wapimwe. Kuna Mbunge alishauri wapimwe lakini akachukuliwa kisiasa zaidi.

Ugojwa hauna vyama, vyeo, wala nini. Ni kuomba tu usipate ile kali maana hata machine za kupumulia Ventilators hazipo za kutosha sio Tanzania tu Duniani
 
Papaa Mobimba,
Bungeni wanafanya nini tena kwetu wakati janga la Corona linafukuta?

Waondoe huko tuipige vita mikusanyiko kwa vitendo na kauli moja.
Wapo wanakusanya posho ya mwishomwisho.....zis iz afurika....... mwingine kajichimbia hataki kugusana na watz ila yy anasema mchape kazi
 
Back
Top Bottom