tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Baada ya majibu ya mheshimiwa raisi pale chuon kwamba waliofukuzwa ni vilaza sina shaka tena kwamba dr Tulia alitumwa na Raisi kufanya kile alicho kifanya bungeni na kile afanyacho pale mjengoni. Ni dhahiri mambo yote yafanyikayo sio makosa bali ni mipango.
Awali tuliaminiashwa kwamba ni kosa la wakufunzi kumbe wanaotafutwa ni wanafunzi ila kupitia mlango wa nyuma . baada ya kuondoka ndio mnaanzwa kunangwa kwamba tatizo la kutolipwa walimu ni mpango wa muda mrefu wa serikali hii mpya ya kutowahitaji wanafunzi. Ila walikua na hofu kwamba wakiwatimua wanafunzi kwa kauli kama za Raisi wangali chuoni pangelipuka. So walitumia uongo ili kupisha waondoke than nyuma wawanange.
Yaan wapinzani hata wangetumia kanuni toka mbinguni na mpangilio kama mtihani wasingepewa nafasi kwa hili la UDOM kulijadili, hata ccm wote wangeinuka magu alisha amua vilaza waende nyumbani. Sory nanukuu tu la vilaza huku roho inaniuma.
Pole wabunge wa ccm mliowaunga mkono ukawa hamkujua nia ya chama cheni nahisi mshahojiwa kwa kumpinga mheshimiwa aliyetumwa dr tulia. Sasa bila shaka naibu spika anatekeleza wajibu wake kwa aliye mpa unaibu na c kwa bunge tena .kwa hili umedhihilika unatumwa kwa kila jambo na si matakwa ya kisheria katu!!
Nakutakia kher kutekeleza majukumu ya aliye kutuma.