Naibu Spika NDUGAI Amtetea James Lembeli kwa kusoma ripoti ambayo haipo kwa Wabunge

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Mh. Tundu LISSU ameomba mwongozo kwa naibu spika kuhusiana na mwenyekiti wa kamati ya maliasili, utalii na mazingira James Lembeli akisoma report ya kamati ambayo haifanani na ile waliyopewa wabunge. Ndipo Ndugai akasimama na kukiri kuwa na kweli wabunge hawajapewa nakala watapewa baadaye.

My take; kwanini uzembe huu unatokea na mpaka mbunge anaomba mwongozo ndo linatolewa ufafanuzi?
 
Duuh.. Na wanaona ni jambo la kawaida hili.. Na kuna watakaokuja na kulitetea hili.
 
Mh. Tundu LISSU ameomba mwongozo kwa naibu spika kuhusiana na mwenyekiti wa kamati ya maliasili, utalii na mazingira James Lembeli akisoma report ya kamati ambayo haifanani na ile waliyopewa wabunge. Ndipo Ndugai akasimama na kukiri kuwa na kweli wabunge hawajapewa nakala watapewa baadaye.

My take; kwanini uzembe huu unatokea na mpaka mbunge anaomba mwongozo ndo linatolewa ufafanuzi?
Kazi ya kusambaza nakala za ripoti ni za Bunge na sio Mweyeiti wa kamati, hivyo naibu spika kawa muungwana kukiri kosa. Mara nyingine ni matatizo ya kiufundi na sio makusudi cha msingi wasikilize huku ofisi ya bunge ikiandaa utaratibu kuwagawia tuache kulalamika. Suala wasikiize kwa makini wachangie mbona sisi wananhi huwa hatuna nakal a yoyote lakini tunaelewa vizuri tu na kutowa maangalizo yetu?
 
Acha kutetea huu uzembe kwani haujaanza leo
 
chama cha mizigi,jana january makamba sijui alikuwa amelewa tena maana alikuwa anongea kwa mafumbo kuwa hakuna cha mawaziri mizigo
 
Tundu Lissu yupo makini sana ktk kuhakikisha mistari haipindishwi!
 
...katika harakati za Ndugai kujaribu kuficha mambo amejichanganya na kusema eti kamati imefanya kazi hadi saa saba ya usiku wa leo...
 
tundulisu alikosa mwelekeo tangu siku nyingi hajui hata cha kufanya kwenye jamii.
 
kazi ya kusambaza nakala za ripoti ni za bunge na sio mweyeiti wa kamati, hivyo naibu spika kawa muungwana kukiri kosa. Mara nyingine ni matatizo ya kiufundi na sio makusudi cha msingi wasikilize huku ofisi ya bunge ikiandaa utaratibu kuwagawia tuache kulalamika. Suala wasikiize kwa makini wachangie mbona sisi wananhi huwa hatuna nakal a yoyote lakini tunaelewa vizuri tu na kutowa maangalizo yetu?

unakumbuka kikao kilichopita mh tundu lisu alikatazwa na spika anna makinda kuendelea kusoma maoni ya kambi rasmi ya upinzani , katiba na sheria baada ya kuonekana iko tofauti na walio nayo wabunge???lissu akasema iyo ni kazi ya ofisi ya bunge ila makinda akgoma na maoni hayo hayakusomwa tena bungeni???au kafanya nani law applied???
 
Ngoja tuone
Kuna dalili km wabunge wakiijadili hii ripoti vizuri kuna dalili Mawaziri kupigwa chini km watakubali kuwajibika!

Ripoti ni nzito sana!
 
tundulisu alikosa mwelekeo tangu siku nyingi hajui hata cha kufanya kwenye jamii.

...hivi akili zenu huwa mnaziweka wapi?...alichosema Lisu ndio hicho kilichosabisha bunge kuhairiashwa...tunajua kuwa maccm mmezoea kuua ndo maana hiyo taarifa ya kamati mnaiona kama ni kitu cha kawaida tu na ndo maana hamwoni sababu ya kujadiriwa bungeni...watu walipigwa,kuteswa,kudhalilishwa na kuuawa lakini bila ata aibu unaandika ujinga...
 
Back
Top Bottom