Naibu spika Job Ndugai live kwenye jahazi clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu spika Job Ndugai live kwenye jahazi clouds fm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Aug 29, 2011.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa kuna sintofahamu kati ya spika Anne Makinda na naibu wake Job Ndugai kuhusiana na naibu spika kuruhusu wabunge kujadili sakata la katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini David Jailo Kitundu kurejea kwenye nafasi yake baada ya kupewa likizo kupisha uchunguzi. Source: Clouds fm radio
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Bomu walilotega wenyewe limelipuka, na bado yatalipuka mengi. Mungu yupo na ataokoa watanzania maana nchi imebaki mifupa mitupu.
   
Loading...