Naibu Spika Job Ndugai amtoa nje Mbunge wa CCM kwa siku tatu

Mheshimiwa Mdee usiogope tuko nawe aendelea kututetea. Mola atakulinda.
 
Ok sir...

When Mdee wanted to 'toa taarifa' in the midst of Ndugai expelling Ndugulile from parliament, the speaker became very angry and refused to hear Mdee's protest.

Furthermore he said and I quote 'wananchi wa Kawe mnaona mlivyochagua kituko'. And refused to entertain what Mdee had to say...

He also accused Mdee of using cheap politics and that he won't expel Mdee as well, as that is what she is looking for so she can gain popularity in tomorrow's papers.

He said and I quote 'sikufukuzi, ila naku puuza tu'

Huyu Ndugai dhaifu mkubwa atoke nje tena nje ya bunge hili milele. He is so arrogant ana hana lolote wote wawili na bibi kizee walipigiwa simu wakachukue form ili kulinda interest za kundi fulani. Acheni hizo wewe. Maneno yako leo ni kipimo cha urefu na utambuzi wa akili yako. Bunge tangu 2010 linaendeshwa kama genge la tandale. Respect the House please!!! What if it keeps on be "DHAIFU".
 
Kamtoa kwa sbbu gani? Duh umeandika Ki pashtun kule timor masharki

@Dallailama
Amemtoa kwa sababu ameshindwa kuthibitisha madai aliyatoa jana alipokuwa anachangia wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi; kwamba waziri amewasafirisha madiwani kwa gharama ya serikali..

Kama hujaridhika na jibu ruksa kuuliza!
Ni hayo tu.
 
hivi viwanja vya kupima ni headache, ardhi wanajilundikia wenyewe viwanja, ukitaka kununua utaambiwa 'mwenyewe yupo ardhi', si tu kisota, bali hata kibada na mwongozo......

Halmashauri na wizara wamegeuza viwanja mtaji wa kuoata fedha za wananchi na kugaiana wenyewe kwa wenyewe viwanja, zaidi mawaziri, mabalozi na wabunge..... Wenye hela wapenyeze rupia, na mlalahoi unaishia kuona kwa macho........
 
Nadhani kamtoa kwa mujibu wa kanuni ingawa maneno aliyoyatumia kumnyamazisha Mdee yamepitiliza busara ya nafasi aliyonayo, It is sad kwa kumuembaras Mdee na wananchi wa Kawe
 
Bunge likiendelea na utaratibu huu wa kuruhusu kanuni zao kuendelea kukiukwa hali itakuwa mbaya sana huko mbeleni na haswa wakati tunaelekea kwenye mida ya uchaguzi yaani kuanzia mwakani,

Uchaguzi wa ndani ya CCM na makundi yao yanalitafuna sana Bunge na kuendelea kuliumiza taifa ....
 
Ndugai anaizuga Jamii ya Kimataifa kwamba Bunge haliwatendei haki wapinzani. Anataka aweke rekodi kuwa hata mbunge wa CCM amewai kutolewa nje. Kitendo hiki hakifuti ile dhana kwamba wapinzani wanaonewa Bungeni na rungu la spika na naibu wake.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
nakubaliana na wewe mkuu 100% inawezekana huko u.k ktk kikao za uzazi wa mpango alipoenda jk ,wakubwa wamembana kuwa nchini kwake hakuna democracy na ananyanyasa cdm bungeni so,ikabidi dhaifu apige simu ya emergence kwa ndugai atunge igizo hilo !!
 
Viongozi wa bunge wataongoza kuipeleka magamba kaburini na wakinunua sanda na jeneza. Waendelee hivyo kutupa hasira.
 
watu kama hawa ni wanaa tuu na wanakosea kwa maslahi yao ya uongo na kutumia mitandao kama kuchakachua wananchi (ufisadi), kwanza kaamua kuja na mtazamo wake, hataki haki na wala haoni kuwa N/spika ana nafasi yake, kwa mujibu wa kanuni hizohizo alizonazo mbunge yeyote.
 
Ndungai kaonyesha chuki zake binafsi kwa Mdee km anazozionyesha sasa hv kwa Mnyika, yawezekana kweli Mdee alikosea kutoa taarifa wakati spika anaongea but siyo kumdharau namna hile kwa kumuita kituko mara anatafuta umaarufu kupitia magazeti, kwanza nitake kumwambia mdee mpaka sasa ni maarufu wala hana haja ya kuutafuta sasa,

Pili yeye akiwa km msimamia kanuni si sahihi kutumia maneno ya kuudhi kwa mbunge mwingine je kumuita mwenzako kituko ni sahihi??au spika yupo juu ya sheria, mwisho nmshauri Ndungai kiti kile kinaitaji hekima n busara ya hali ya juu so kutoa matamshi kwa jaziba, kishabik au kwa kukurupuka kutakuaribia wewe na ubunge wako. See you 2015 jimboni kwako
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom