Naibu Spika Dr. Tulia Ackson kushuhudia mechi ya Taifa Stars

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.

Naibu Spika Amethibitisha kuwa atakuwepo Uwanjani Siku ya Ijumaa Kuwapa Hamasa Vijana Wa Taifa Stars.
Hongera Sana Mheshimiwa kwa Moyo wa Uzalendo.
FB_IMG_15737141757842581.jpeg
Screenshot_20191114-095001.jpeg
 
Mpira una mbinu zake na taratibu zake, je ni kweli tunaushabikia kwa kuupenda na kuwa na malego mema kusaidia vijana wetu wenye vipaji kutengeza future zao. AU TUNAUTUMIA MPIRA KAMA SEHEMU YA KUJIJENGA KISIASA NA KUJILETEA UMAARUFU BINAFSI??, lets football be football with original taste.
 
Siasa kila eneo......mpira ni maandalizi. Kutiana moyo ni strategy ya mwisho.
 
Back
Top Bottom