Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

Chadema walibugi Sana kuwafukuza uanachama HAO akina mdee.
Maana sasa hivi sio wanachama wenu na hamna MADARAKA nao .kuhangaika nao kuwa wafukuzwe bungeni mnaonekana mna WIVU na posho zao.
Nyie mmeshajitoa kwenye huo mzigo endeleeni na Mambo yenu.
Hii ndiyo tatizo la JF kuvamiwa wa watu wa Facebook, tunajadili kuhusu mustakabali wa siasa wewe unaanza kubandika watu vyama!

Tazama akili zako zilivyo, kama unakili kuwa siyo wanachama wa CHADEMA, wapo Bungeni kwa chama gani? Maana katiba inaeleza kuwa huwezi kuwa Mbunge kama siyo mwanachama wa chama cha siasa!

Ndugu, kuwa na huruma na kodi yako inayo tumiwa vibaya na COVID19....
 
ungekuwa Una uwezo wa kufikiri.
BASI HAKUNA HATA MBUNGE MMOJA WA CCM AMBAYE ANATAKIWA ABAKI PALE BUNGENI Acha HAO 19 unaosema wanatumia Kodi zetu vibayaa.
Ungekuwa na AKILI ungeomba Bunge livunjwe na uchaguzi mkuu URUDIWE upya.hata kama rais atabaki huyu aliyepo.
Hii ndiyo tatizo la JF kuvamiwa wa watu wa Facebook, tunajadili kuhusu mustakabali wa siasa wewe unaanza kubandika watu vyama!

Tazama akili zako zilivyo, kama unakili kuwa siyo wanachama wa CHADEMA, wapo Bungeni kwa chama gani? Maana katiba inaeleza kuwa huwezi kuwa Mbunge kama siyo mwanachama wa chama cha siasa!

Ndugu, kuwa na huruma na kodi yako inayo tumiwa vibaya na COVID19....
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom