Naibu Spika Dk Tulia, aenda Muhimbili kumuona mtoto aliyepewa jina lake

Naibu spika dk Tulia leo amewasili Hospitali ya Muhimbili kumuona mtoto wa mbunge wa Mkuranga kupitia chama cha CCM Abdala Ulega ambaye mtoto wake amembatiza jina la Tulia

Chanzo: Mwananchi
Pole kwa mtoto Tulia.
 
Back
Top Bottom