Naibu Spika: Bunge litapitia Kanuni za Tozo za Miamala zilizoandaliwa na Waziri wa Fedha kuona kama hazikiuki Sheria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,532
141,334
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.

Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima

Source: ITV habari
 
Hatudanganyiki !

instagram.jpg
 
^kuona kama hazikiuki sheria^ au kutafuta namna ya kuziondoa kwa vile ni kero kwa wananchi wote kwa ujumla, na wapiga kura wao kimahususi!???
 
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.

Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima

Source: ITV habari
Bunge linajiondoa kwenye hili la tozo, linamrushia mpira waziri kuwa ndiye aliyetunga
 
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.

Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima

Source: ITV habari
Yaani walikuwa wap kuzipitia kabla ya mnyonge kufikia hali ya kuwa hoi kiasi hiki??
IMG_20210823_165501.jpg
 
Dr Tulia amekurupuka kufunga lango la banda baada ya farasi kutimka. Kazi kweli kweli.
 
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.

Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge zima

Source: ITV habari
Issue siyo kukinzana, issue ni kwamba TOZO NI KUBWA kuliko uwezo wa watu kifedha. Tozo zilipandishwa kwa 100%, hiyo siyo sawa kabisa.
 
Tuombe Mungu na uzima,, kama mambo yatakuwa hivi hivi na NEC itasimamia haki jiandaeni chama langu CCM kuwa wapinzani__________?
 
Back
Top Bottom