Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.

Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?

Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
 
Kuna namna CCM inanufaika na uwepo wa virusi vya COVID - 19 pale bungeni, Spika, Naibu wake na CCM wameanza lini upendo kwa kina Mdee mbona ghafla sana, nafikiri Bunge lingejikita kuona namna gani tunatoka kwenye ule uchumi feki ili Taifa lirudi kwenye njia sahihi, haya ya kina Mdee yanazidi kutuchelewesha.
 
Huwa najuliza mnara wa Babel jinsi wajenzi walivyokuwa inspired lakini bila kupigwa na radi wala tetemeko, mafuriko nk ujenzi ukashindwa kuendelea huku wakiwa na rasilimali zote pamoja na vifaa!
Yaani fudi anamuagiza msaidizi wake alete udongo yeye analeta tofali hadi 'mradi' ukaishia hapo.
 
Wale jamaa kule bungeni hivi hawaoni aibu kwa haya mambo wanayofanya? kweli njia ya muongo ni fupi sana.
 
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.

Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?

Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
 
kupewa taarifa isiyokamilika nisawa na kwamba huna taarifa
 
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.

Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?

Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
Kwani huyo ni chama gani mpaka ukamwamini!? Anyway MTU hujifunza kwa makosa.
 
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama
Mbona hapo mkuu umejijibu mwenyewe? Ushasema taarifa rasmi, sasa wataka nini cha zaidi?
 
Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
Yeye kama Spika kama barua zilikuwa hazijitoshelezi alitakiwa awajibu sio kukaa kimya na kuleta malumbano yasio na msingi
 
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama.

Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho kuwa CHADEMA walifuata taratibu za kuwavua uanachama si ni uthibitisho kuwa ofisi ya Spika ilipokea barua kutoka CHADEMA?

Ama kweli njia ya muongo ni fupi!
Hawa wote wawili hawajielewi wala hawajitambui
 
Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
Kabla ya hii barua ya kufutwa uanachama kwa hawa 19, ambayo speaker anasema haina vithibitisho, je uthibitisho wa kuteuliwa kwao hao Covid 19 ulikua na "vithibitisho" ambavyo bunge na tume ya uchaguzi waliridhika? Tuanzie hapo kwanza.
 
Alicho maanisha ni kwamba taratibu wa uwasilishaji taarifa hiyo haukuwa sawasawa/kukidhi vigezo vyote vinavyo hitajika
Ile barua ya kuwateua ilikidhi vigezo vinavyotakiwa? Kabla hatujafika kwenye barua ya kuwafuta. Kwa sababu wako bungeni baada ya kuteuliwa na chama chao.
 
hivi nani anaye teuwa? nani anayepeleka majina ya walioteuliwa kwa spika?
 
Back
Top Bottom