Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Nassor Mazrui aachiwa kwa dhamana

Haki itadhihiri, ni suala la muda tu. Dulma ina mwisho.

Bwana Mazrui usirudi nyuma ni mbele tu katika kudai haki.
 
Rubbish..

HISIA zako zimetawala ukweli na UHALISIA wa vipi Binaadamu tunatakiwa kuishi

Ni tabia ya mwafrika chini ya Jangwa la Sahara, ukweli hugeuza uongo na uongo ukawa ukweli..
Ukimaanisha hizi ni hisia zangu zisizo na uhalisia? yaani mie Mbeya
 
Ukimaanisha hizi ni hisia zangu zisizo na uhalisia? yaani mie Mbeya

Hii video nimeiona,hawa askari wana silaha za moto wamekwenda kunyanyasa raia hawana silaha yoyote..

Ukweli wa mambo kuwapiga hao askari mawe ilikuwa haitoshi..

Angelitokoa raia mmoja jasri akavaa mabomu akijitolea Muhanga akawaripua hao askari wote,wakafilia mbali

Ingelikuwa funzo Kwa Askari wengine
 
Sijui ile kesi ya Ugaidi na kudhibiti mitambo ya kubadilisha matokeo ya Uchaguzi imeishia wapi?

Utawaamini vipi Jeshi la Polisi la Tanzania?

Jeshi ambalo limejaa,chuki Kwa raia, Jeshi ambalo linawabambikia kesi Wananchi, Jeshi ambalo limejaa damu mikononi mwao

Mungu awapige radi awanakamishe Jeshi la Polisi, Jeshi liliojaaa dhulma

Baada ya kulinda usalama wa RAIA linaramba nyayo za Wanasiasa..
Mkuu wanasiasa nao ni raia pia
 
Mkuu wanasiasa nao ni raia pia
Kweli, lakini Wanasiasa ambao wananyanyasa raia wasio na hatia ili wabakie kwenye vyeo,ni RAIA WABAYA..

Raia mbaya hafai kuongoza jamii, Polisi kazi yao ni kulinda raia wema na Mali zao..

sio kuwaramba nyao Wanasiasa ambao wengi wao ni wachumia tumbo..
 
Nielewe kuwa suala la kijinga linafaa lijibiwe kijinga..

Jana nilikujibu kibusara,..Mramu

Kwahiyo busara uliyojibia jana ukaijutia, ukaona bora ujikite kwenye ujinga!

Mlamu, kumbe hata wenye busara huutamani ujinga?
 
Kwahiyo busara uliyojibia jana ukaijutia, ukaona bora ujikite kwenye ujinga!

Mlamu, kumbe hata wenye busara huutamani ujinga?
Ndio,suala lako lilikuwa kama vile huijui polisi ya Tanzania..

Mramu,ikiwa nimekukwaza nisamehe
 
Alizushiwa kwamba ameuwawa huyu baba.... Afadhali amerudi uraiani tujenge nchi

Mungu ibariki Tanzania
Ndio afisa kipenyo uko kazini kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa ajili ya vyeo na fedha huku baba yako , mama ,kaka , dada shangazi , mjomba , Bibi , babu , binamu zako wanaishi maisha ya mateso makubwa kutokana na chama chako cha ccm na viongozi wake wewe unashangilia hongera sana .
 
Watanzania hawajawa tayari na hapo ndio penye utata mkubwa.

Wananchi wasishinikizwe, waachwe na maisha waliyoyachagua maana ndio wanayoyapenda.

Wangekua wanayachukia kwa tamko la Tundu kila mtu toka kila nyumba, kila mtaa, kila kijiji wangeingia barabarani wala pasingekua na wa kuzuia
Nani kachagua maisha yaliyoletwa na ibilisi . Watanzania sijui tulimkosea nini Mungu mpaka akaamua kumshusha ibilisi kupitia ccm .
 
Nilidhani wameshafukia huyo Gaidi.

Ajifunze kuwa na adabu au akimbilie Oman.

Zanzbar ni salama.
Wewe mjinga nyinyi wabaguz washenzi wapumbavuu ZANZIBAR mtaiacha km mlivyoikuta kuna siku wazanzibar wataungana na hamtakua pakuweka NYUSO ZENU wadanganyika WAKOLONI WEUSI
 
Ndio afisa kipenyo uko kazini kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu kwa ajili ya vyeo na fedha huku baba yako , mama ,kaka , dada shangazi , mjomba , Bibi , babu , binamu zako wanaishi maisha ya mateso makubwa kutokana na chama chako cha ccm na viongozi wake wewe unashangilia hongera sana .
Baba yangu , mama ,kaka , dada shangazi , mjomba , Bibi , babu , binamu zangu wanaishi maisha ya yenye unafuu mkubwa siku hizi baada ya kupata huduma ya za afya, umeme, barabara, na watoto kupata elimu huko vijijini. Zamani hospitali km100 na huduma hakuna... ila sasa hospitali zimewafikia na huduma wanapata
Nani kachagua maisha yaliyoletwa na ibilisi . Watanzania sijui tulimkosea nini Mungu mpaka akaamua kumshusha ibilisi kupitia ccm .
Wakati wewe unaumwita shetani, watanzania walio wengi maskini wasiokua na uwezo wa smartphone na kuweka post hapa jf wanamuombea aendelee kuwatendea mema. Polee
 
Back
Top Bottom