Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye sim hyo ndiyo budget yangu iwe smartphone with 3g na Wi-Fi if possible
Siamini kama lengo la jamii forum ni kujadili mambo kama haya. kama ndio then its not the home for great thinkers.
Una laki unataka simu unaileta hoja kwa jukwaa la great thinkers?
Mkuu nadhani ungeangalia jukwaa ulilopo ndiyo useme,si umeona watu wametoa offer zao na biashara inafanyika?..
Au jukwaa la matangazo madogo madogo ww unalielewa vipi?...
Siamini kama lengo la jamii forum ni kujadili mambo kama haya. kama ndio then its not the home for great thinkers.
Una laki unataka simu unaileta hoja kwa jukwaa la great thinkers?
mkuu hii simu ninaitaka, nilikupm lakini hukunijibunakupa samsung galaxy y pro 5510
Mwenye sim hyo ndiyo budget yangu iwe smartphone with 3g na Wi-Fi if possible
msameheni jamani!
Mwenye sim hyo ndiyo budget yangu iwe smartphone with 3g na Wi-Fi if possible
ntafute kama uko mwanza nkuuzie galaxy mini s3
We unafkiri great thinker ni siasa peke yake tu?