Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha Chuo cha Muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye Muziki wa Bongo
Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya Diamond na ‘Game’ ya Navy Kenzo ameongeza kuwa kutokana na sababu hiyo ndio maana hachukui watu hovyo hovyo wanaohitaji kujiunga na chuo chake cha TIMS, mpaka pale akijiridhisha na vigezo vyote anavyovitazama
Sichukui mtu ambaye baadae nitakuja kuambiwa we Nahreel unachukua tu hela za watu, mi nataka nitengeneze vipaji nataka nitengeneze watu ambao wanaweza kubadilisha game letu na kulipelekea mbali, kwahiyo nitaangalia mtu ambaye ana passion ya muziki na mimi namjua tu alisema Nahreel kupitia