Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ajiunga timu ya Taifa baada ya kuruhusiwa hospitali

Majs

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
232
497
Nahodha wa Simba Sports Club Jonas Mkude ambae juzialipata ajali ya gari, ameruhusiwa kutoka hospitali na tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa.

Pichani akiwa na wachezaji wenzake Ndemla na Ajib.
Screenshot_20170530-072834_01.png
 
Back
Top Bottom