Nahodha kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

BigMan

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,096
135
tetesi zimesambaa na zinadaiwa kuwa za uhakika kwa asalimia 75 kwamba aliyekuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar shamsi vuai nahodha ndiye atakayekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa tanzania.tayari ameshateuliwa katika nafasi kumi za jk.tetesi hizo tayari zimeanza kuwastua wote wanaojipanga kwa 2015 kuwa kutafakari kama ni kweli nini mwelekeo wa move hiyo ?
 
Hawezi huyo weye wamwoanje?? Si rahisi kiasi hicho we need a strong personality for that post
 
Mh! Tetesi za nani kuwa nani zimekuwa nyingi mno jamani.
Tungesubiri tu Mkwere atangaze safu yake.
 
tetesi zimesambaa na zinadaiwa kuwa za uhakika kwa asalimia 75 kwamba aliyekuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar shamsi vuai nahodha ndiye atakayekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa tanzania.tayari ameshateuliwa katika nafasi kumi za jk.tetesi hizo tayari zimeanza kuwastua wote wanaojipanga kwa 2015 kuwa kutafakari kama ni kweli nini mwelekeo wa move hiyo ?

Sijabobea kwenye siasa, lakini huyu hata ile haiba ya kuwa waziri wa mambo ya nje hana! hana hana kabisa!:nono:
 
Ninavyomfahamu mimi Shamsi is a good politician, na kuletwa huku bara ni dhahiri wanataka kujenga Mzanzibary ambae atajaribu 2015, i doubt kama ataziweza siasa za bara.

Akipewa mambo ya nje na Mh. Membe anapewa wapi? Maana tukikutana nae huku nje huwa anajiona ashakuwa raisi
 
ngoja tusubiri kesho tuone mwenyewe JK atakapotanga baraza lenyewe badala ya kubashiri bashiri
 
tetesi zimesambaa na zinadaiwa kuwa za uhakika kwa asalimia 75 kwamba aliyekuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar shamsi vuai nahodha ndiye atakayekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa tanzania.tayari ameshateuliwa katika nafasi kumi za jk.tetesi hizo tayari zimeanza kuwastua wote wanaojipanga kwa 2015 kuwa kutafakari kama ni kweli nini mwelekeo wa move hiyo ?

Mkakati uliopo ni kuwa rais wa JMT ajaye atoke nchini Zanzibar. Anapata hiyo nafasi kujaribu kumpa international exposure na kumuandalia mazingira bora kwa ajili ya mwaka 2015.
 
mkakati uliopo ni kuwa rais wa jmt ajaye atoke nchini zanzibar. Anapata hiyo nafasi kujaribu kumpa international exposure na kumuandalia mazingira bora kwa ajili ya mwaka 2015.

hatuwezi kukubali, safari hii urais ni zamu yetu wakiristo, tuna desturi ya kubadilishana urais kutokana na uwiano wa kidini! Tulianza na mwalimu(mkristo mkatoliki) baada ya uhuru na kumuachia rashid kawawa(muislamu) kwa muda mfupi kabla ya kurudi tena mwalimu(mkristo mkatoliki)na kumuachia ali h. Mwinyi(muislamu) na yeye kumuachia mkapa(mkristo mkatoliki) na yeye kumuachia jk(MUISLAMU)!

haiwezekani muislamu aondoke na kumuachia muislamu tena hiyo itakuwa ni kinyume na maadili tuliyojiwekea na italeta malalamishi toka kwa wakiristo na mimi naona ni kipindi cha waluteri AU waanglikana AU WALOKOLE AU WASIO NA DINI kushika madaraka ya urais kwa sababu tangu tumepata uhuru marais wametokana na wakatoliki!!
 
Nahodha mambo ya nje khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Naona kijiti 2015 inabidi kiende kwa mkristo kubalance mambo ndo maana CCM watamsimamisha EL
 
Stop udini crap! we only need qualifications. Miafrika tumebubikwa na mizengwe mingi sijui kabila, udini rangi all that are the reasons why we are so far behind. Stop that crap and move on towards positive mind set. Eboooo.
 
hatuwezi kukubali, safari hii urais ni zamu yetu wakiristo, tuna desturi ya kubadilishana urais kutokana na uwiano wa kidini! Tulianza na mwalimu(mkristo mkatoliki) baada ya uhuru na kumuachia rashid kawawa(muislamu) kwa muda mfupi kabla ya kurudi tena mwalimu(mkristo mkatoliki)na kumuachia ali h. Mwinyi(muislamu) na yeye kumuachia mkapa(mkristo mkatoliki) na yeye kumuachia jk(MUISLAMU)!

haiwezekani muislamu aondoke na kumuachia muislamu tena hiyo itakuwa ni kinyume na maadili tuliyojiwekea na italeta malalamishi toka kwa wakiristo na mimi naona ni kipindi cha waluteri AU waanglikana AU WALOKOLE AU WASIO NA DINI kushika madaraka ya urais kwa sababu tangu tumepata uhuru marais wametokana na wakatoliki!!
mods tunaomba Muongozo hapa!..do we need this?
 
Ukweli hapo ndo watakua wameizika sisiem! na kama ndo mpango wao bac na iwe hivyo kwani wadanganyika wanasema adui muombee njaa! huyo hata kidogo hawezi kusimama na siraha 2015 hata wachakachue vp..! hana that credibility kabisaaa!

2nd nisingependa baadhi ya wachangiaji walivyochangia hapo juu kuhusu rais awe dini gani..! hili swala sio muhimu that much, si tuangalie rais gani atakaetufaa and nat 4m dhehebu flan thats it, tukiendekeza haya mambo ya dini yatatupeleka pabaya na big loosers tutakua sie sie. so i suggest we choose da president according to capabilty and uzalendo wake na sio dini yake...! god bless tanzania
 
Jamani naona watu wanaingilia kazi za watu (unajim) , tusubiri sisi kama wana jamvi wateuliwe then mmoja baada ya mwingine tunamjadili tukitumia u great thinker wetu kuliko kujadili kufikirika.
 
hatuwezi kukubali, safari hii urais ni zamu yetu wakiristo, tuna desturi ya kubadilishana urais kutokana na uwiano wa kidini! Tulianza na mwalimu(mkristo mkatoliki) baada ya uhuru na kumuachia rashid kawawa(muislamu) kwa muda mfupi kabla ya kurudi tena mwalimu(mkristo mkatoliki)na kumuachia ali h. Mwinyi(muislamu) na yeye kumuachia mkapa(mkristo mkatoliki) na yeye kumuachia jk(MUISLAMU)!

haiwezekani muislamu aondoke na kumuachia muislamu tena hiyo itakuwa ni kinyume na maadili tuliyojiwekea na italeta malalamishi toka kwa wakiristo na mimi naona ni kipindi cha waluteri AU waanglikana AU WALOKOLE AU WASIO NA DINI kushika madaraka ya urais kwa sababu tangu tumepata uhuru marais wametokana na wakatoliki!!

watu kama wewe ndio mwalimu nyerere aliwakataa kabisa katika jamii ya watanzania wenye umoja na amani, hapo tayari umesha ingiza swala la udini katika serikali.. ni katiba ipi na ya lini inasema urais wa tanzania unaenda kwa udini au ukabila. tafakari maneno yuko kwanza kabla hujayatamka. tanzania ni nchi huru isiyo tawaliwa kidini wala kiukabila

Ninavyomfahamu mimi Shamsi is a good politician, na kuletwa huku bara ni dhahiri wanataka kujenga Mzanzibary ambae atajaribu 2015, i doubt kama ataziweza siasa za bara.

Hivi kuna haja gani kwa CCM kutumia hizi garbage (Bilali, Nahodha, etc.) zilizotupwa Zanzibar?
 
Back
Top Bottom