tetesi zimesambaa na zinadaiwa kuwa za uhakika kwa asalimia 75 kwamba aliyekuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar shamsi vuai nahodha ndiye atakayekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa tanzania.tayari ameshateuliwa katika nafasi kumi za jk.tetesi hizo tayari zimeanza kuwastua wote wanaojipanga kwa 2015 kuwa kutafakari kama ni kweli nini mwelekeo wa move hiyo ?