Nahodha kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

Ni tetesi tu,lakini huyu jamaa hana haiba ya nafasi kama hiyo hata kidogo.Akichaguliwa itakuwa kosa kubwa sana.
 
hatuwezi kukubali, safari hii urais ni zamu yetu wakiristo, tuna desturi ya kubadilishana urais kutokana na uwiano wa kidini! Tulianza na mwalimu(mkristo mkatoliki) baada ya uhuru na kumuachia rashid kawawa(muislamu) kwa muda mfupi kabla ya kurudi tena mwalimu(mkristo mkatoliki)na kumuachia ali h. Mwinyi(muislamu) na yeye kumuachia mkapa(mkristo mkatoliki) na yeye kumuachia jk(MUISLAMU)!

haiwezekani muislamu aondoke na kumuachia muislamu tena hiyo itakuwa ni kinyume na maadili tuliyojiwekea na italeta malalamishi toka kwa wakiristo na mimi naona ni kipindi cha waluteri AU waanglikana AU WALOKOLE AU WASIO NA DINI kushika madaraka ya urais kwa sababu tangu tumepata uhuru marais wametokana na wakatoliki!!

Duh hii kali kwa wa Tz,
Mzanzibari ?..............................................................................Mtanganyika?
Mkristo........./...........Muislamu?...................................Muislamu............./...............Mkristo

MKRISTO
Mkatoliki/Mrutheli/Muanglikana/Mlokole/Muadvensti/Mkibwetere/Mashahidi wa yehova/......!?

MUISLAMU
Shafi/Ibadhi/Sunni/Shia

MPAGANI
Hindul......!?

Mzanzibar-----Mshiraz/Mnyamwezi/Mwarabu/Mcharawe/Mmakunduchi/Almauly/ Ba Alawy...?

Mtanganyika---Mchaga/Msukuma/Mjita/Mjaluo/Mnyakyusa/ Mluguru/ Mfipa/Muha/Mjaluo/ Mkurya.....!?

Aisee hili move halina mwisho yaani. Sjui kiingilio cha sinema hii kiasi gani linaonyeshwa ukumbi gani? AVALON,MAJESTIC.....? nasema halina mwishoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Kwa siasa za leo ni vigumu sana kubashiri nani atakuja kusimama 2015,pia kama ni mtu kutoka ZNZ inabidi awe competent sana na sidhani kama wanaye kwa sasa.

Possibly Hamad Rashid Mohamed wa CUF! huyu ni competent enough but.....!?
 
hatuwezi kukubali, safari hii urais ni zamu yetu wakiristo, tuna desturi ya kubadilishana urais kutokana na uwiano wa kidini! Tulianza na mwalimu(mkristo mkatoliki) baada ya uhuru na kumuachia rashid kawawa(muislamu) kwa muda mfupi kabla ya kurudi tena mwalimu(mkristo mkatoliki)na kumuachia ali h. Mwinyi(muislamu) na yeye kumuachia mkapa(mkristo mkatoliki) na yeye kumuachia jk(MUISLAMU)!

haiwezekani muislamu aondoke na kumuachia muislamu tena hiyo itakuwa ni kinyume na maadili tuliyojiwekea na italeta malalamishi toka kwa wakiristo na mimi naona ni kipindi cha waluteri AU waanglikana AU WALOKOLE AU WASIO NA DINI kushika madaraka ya urais kwa sababu tangu tumepata uhuru marais wametokana na wakatoliki!!

Watu wengine bana!! mod hebu mfungie huyu
 
Why talking like that! uislam...ukristo....uruteli...what is that! mtizamo DUNI ni dalili ya ubaguzi wa aibu na utaolimaliza taifa!!!!!!!!!

umeona umeanza na uislam na ukristo....na sasa ukatoliki, uruteli, uanglikana,,,,,,,,mwisho ujumuia na mwisho kaya na kaya! ACHAAA
UBAGUZO HAUFAI!!!!!!!!!! WE ARE ALWAYS LOOKING FOR QUALIFICATIONS AND COMMITMENTS ON NATIONAL ISSUES!!!!!!!!!
 
Kwa wanaofuatilia utendaji wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh: Benard Membe anastahili kuendelea na post hiyo i mean ndani ya systerm ya CCM. Ni kiongozi aliye makini na msomi mwelewa na ana uzoefu wa International Affairs. Kama uko makini utaliunga mkono hili.
Amejitahidi sana kidiplomasia kuiwakilisha Tanzania vema katika anga za Kimataifa.
 
Back
Top Bottom