Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,032
- 759
Mkuu Kimox Kimokole Ninaweza kuipata tatizo lake itakuwa ni bei kubwa tofauti na huko nyumbani ndio nikangoja huko kwanza kama umeipata au bado ? ukiingia online tuzungumze kwenye Skype ninaweza kukutafutia huku unasemaje?
bado sijapata kaka, hiyo namba ya mdau hapo juu nimepiga wanasema hawana
Vp unaweza kunipatia huko?