Nahitaji Wi-Fi SD Card nitapata wapi?

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Wandugu nahitaji kununua Wi-Fi SD Card kama hii hapa chini kwenye picha

Eye-Fi_WiFi_SD_Card.JPG
Wapi nitapata jamani?
 

bado sijapata kaka, hiyo namba ya mdau hapo juu nimepiga wanasema hawana

Vp unaweza kunipatia huko?
Mkuu Kimox Kimokole Ninaweza kuipata tatizo lake itakuwa ni bei kubwa tofauti na huko nyumbani ndio nikangoja huko kwanza kama umeipata au bado ? ukiingia online tuzungumze kwenye Skype ninaweza kukutafutia huku unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@Kimox Kimokole Baada ya leo Jumatano tangu asubuhi mpaka jioni kwenda kwenye Maduka ya computer makubwa zaidi ya maduka 5 nimeipatahiyo Eye- FiWi-Fi SD Card ila haina maandishi haya (Prox2) na Bei yake ni Dollar 150 kama utahitaji wasiliana na mimi kwenye Skype au nitumie Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Angalia picha hapo chini jinsi ilivyo hiyo Eye- Fi Wi-Fi SD Card.



attachment.php
 

Attachments

  • Eye-Fi_WiFi_SD_Card.JPG
    Eye-Fi_WiFi_SD_Card.JPG
    7.5 KB · Views: 67
Back
Top Bottom