Nahitaji watu wenye uwelewa kuhusu uwekeza madini

mutagaywa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
891
189
Mkuu nipo mbele yenu kutafuta watu wenye uwezo katika uwekezaji Wa madini ususani katika uchimbaji tunataka kufungua company ya uchimbaji huo tukishilikiana na wenzetu kutoka russia mkuu ushiki wenu nimuhimu sana kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa numba 0766090956
 
Madin ya aina gan? Tafuta mwanasheria, Nenda kautambue uwepo wao ktk baloz yao, ili wasije wakakuacha coz wazungu weng siku ni wapigaji
 
Ndo tupo kwenye hatua za mwanzo ndio mahaana nahitaji watu wenye ushawishi mkubwa pindi napokuunganisha na muwekezaji
 
nichek kwa namba hii 0713986635.ila uwe siriaz tu na usiwe na aina yoyote ya utapeli
 
Hapana mkuu nipo serious coz hii issue bilipewa tangu mwaka Jana sema watu wenyewe ndio awaaminiki ila nipo serious
 
Ni madini ya aina gani na yapo sehem gani?je mmeshafanya feasibility study?kama ni gold then grade yake ni ngapi na je ni liberated ore au refractory ore?

Ukinijibu hayo ndio naweza kusaidia
 
Mkuu ndo tupo kwenye upembuzi so ndo tunaitaji watu wenye ushawish katika issue hiyo mkuu upande Wa tanzanite au gold
 
Back
Top Bottom