Nahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kufanya biashara ya samaki

muzr

Member
Sep 5, 2017
31
18
Nahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kufanya biashara ya samaki eneo ni Kongowe Dar es Salaam

Wawe na uwezo wa kutengeneza samaki wabichi, kukaanga samaki. Malipo hayatapungua 5000 na hayatazidi elfu 8000 kwa kila siku

Alie tayari tunaweza kuwasiliana kupitia 0748060694
 
Back
Top Bottom