Nahitaji vifungashio na mashine kwa ajili ya kuuzia lishe yangu

SUZANE

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
740
500
Heshima natanguliza.

Baada ya kuzunguka katika maduka na supamaket kadhaa, nimepata oda ya kusambaza unga wa lishe.

Tatizo hata sijui vifungashio nitavipata wapi. Tafadhali naombeni msaada wenu.

Nahitaji ile mifuko migumu ya lailoni pamoja na ile mashine ya kufungia vifungashio hivyo.

Nawakilisha wakuu!!
 
Hongera dada kwa kujituma naamini utafanikiwa
Subiri tu wadau watakuja watakupa muelekeo

CC: Chasha,uvugizi, mayenga.
 
Heshima natanguliza.

Baada ya kuzunguka katika maduka na supamaket kadhaa, nimepata oda ya kusambaza unga wa lishe.

Tatizo hata sijui vifungashio nitavipata wapi. Tafadhali naombeni msaada wenu.

Nahitaji ile mifuko migumu ya lailoni pamoja na ile mashine ya kufungia vifungashio hivyo.

Nawakilisha wakuu!!

Kama hutojali nitumie namba yako kwenye email frajosmal@yahoo.com nitakutafuta. Kila kitu kinapatikana dada hujachelewa,ni swala tu la kujipanga mwenyewe.
 
Hongela kwa kupiga hatua japokuwa hukufanya enough research as to what the supermarket prefer mode of packing some like packen in polythen bug other in paper bug. Cha msingi ni kujua je wareja wako wanapendea packing ipi na ya uzito upi? Then igekuwa lahisi kujua ni vipi ujipange na inakuwezesha kujua ni kwa bei ipi uwauzie ili uweze pata profit
That is all I can help you with at moment. I wish u all the best
 
Back
Top Bottom