Nahitaji vifaranga vya brazil au malawi kuku wa nyama


tycun

tycun

Member
Joined
Dec 16, 2011
Messages
36
Likes
2
Points
15
tycun

tycun

Member
Joined Dec 16, 2011
36 2 15
wadau mbali mbali wa dsm naitaji vifaranga vya kuku wakisasa wa nyama naskia hao wa malawi na brazil wanakua wakubwa na wazito wanalipa vzur.. yeyote anaeweza kuniconnect na muuzaji naomba msaada na mm nifuge kuku hao.
 

Forum statistics

Threads 1,273,431
Members 490,382
Posts 30,481,427