Nahitaji ushauri wenu zaidi juu ya hili - Kama ni ndoa basi imejibu

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666
Hello JF,
Kama mnakumbuka tarehe 5 jan nilikuja kuomba ushauri kwenu naweka kidogo kumbukumbu hapa chini.

Nyumba ninayoishi ni apartment ya family mbili, nimeishi nyumba hiyo kwa muda mrefu sasa. Mwezi wa kumi 2011 alihamia mpangaji mwenzangu ktk sehemu iliyokuwa imeachwa wazi na mtu ambaye alihama. Jirani huyu ni mwanaume na anaishi hapa bila mke ingawa mke anaye anadai mkewe huyo yuko mbali naye kwa sababu za kifamilia naye hapa yupo kikazi tu.

Toka alivyohamia hapa ninapoishi naye kama jirani kesha badili wasichana wa kazi za ndani wanne aliepo sasa ni wa tano. Msichana wa pili kabla hajaondoka alinifata na kunilalamikia tabia chafu za mbaba huyu za kumlazimsha amtimizie haja zake za zinaa, nikamshauri aondoke akatafute kazi sehemu nyingine. Jana msichana wa tano mwenye umri wa miaka 17 akiwa ana siku mbili tu alinifata na kunitolea malalamiko kama Dada na mwanamke mwenzie, kuwa mbaba yule anamlazimisha mapenzi kwa kumtisha na Bastola. Nilichomshauri binti huyo ni kwamba tutaweka mtego wa kumuadhirisha ili kuikomesha tabia yake chafu ya kuchezea watoto wadogo. Sasa ndugu zangu hapa ndipo ninapoomba msaada wa ushauri wenu nitumie polisi, majirani, ama mapaparazi?

Tayari jamaa amenasa na amehama mtaa, tuliweka mtego na mlinzi pamoja na majirani alipigiwa filimbi kama mwizi na kukutwa akiwa uchi wa mnyama. Nasikia ameamua kuagiza mkewe aje kwa kumdangaya kuwa msichana wa kazi alitaka kuchafua jina lake. Nawashukuru wote kwa ushauri mlionipatia.

Toka tulivyoanza kumuwinda binti alikuwa akitembea na kipenga, hali kadhalika mlinzi pia kama kawaida yake, basi jamaa akamwita binti chumbani kwa madai kuwa amtolee nguo ya kuvaa kabatini, ile binti anaingia chumbani akamkuta jamaa yuko kama alivyozaliwa na mguu wa 3 ukiwa unataka salam, binti hakushtuka kwani alikuwa na kipenga chake.

Alisogea kwenye kabati ili atoe nguo jamaa likamfata na kupandisha sketi ya binti, ndipo kukurukakara zilipoanza binti akashindwa kujinasua maana ni pande la baba na limeenda hewani. Dada wa watu akiwa ktk purukushani hizo alifanikiwa kuipata filimbi yake ile kupuliza tu na mlinzi akapokea, majirani nao kwa vile walikuwa wameshapewa taarifa walivamia ndani na kuanza kumpa kipingo cha mbwa mwizi. Baada ya hapo jamaa alipotea kama wiki hivi alivyorudi alikuja kuhamisha vitu vyake tu. Kifupi ndo ilikuwa hivo mkuu.
 
Waoh; hongera kwa kazi nzuri, nina imani atajifunza. Yaani nawaonea huruma sana mabinti wa kazi, wengi huambukizwa migonjwa au kutiwa mimba na huachwa wakiwa nasikini mara 2.
 
Hello JF,
Kama mnakumbuka tarehe 5 jan nilikuja kuomba ushauri kwenu naweka kidogo kumbukumbu hapa chini.

Nyumba ninayoishi ni apartment ya family mbili, nimeishi nyumba hiyo kwa muda mrefu sasa. Mwezi wa kumi 2011 alihamia mpangaji mwenzangu ktk sehemu iliyokuwa imeachwa wazi na mtu ambaye alihama. Jirani huyu ni mwanaume na anaishi hapa bila mke ingawa mke anaye anadai mkewe huyo yuko mbali naye kwa sababu za kifamilia naye hapa yupo kikazi tu.

Toka alivyohamia hapa ninapoishi naye kama jirani kesha badili wasichana wa kazi za ndani wanne aliepo sasa ni wa tano. Msichana wa pili kabla hajaondoka alinifata na kunilalamikia tabia chafu za mbaba huyu za kumlazimsha amtimizie haja zake za zinaa, nikamshauri aondoke akatafute kazi sehemu nyingine. Jana msichana wa tano mwenye umri wa miaka 17 akiwa ana siku mbili tu alinifata na kunitolea malalamiko kama Dada na mwanamke mwenzie, kuwa mbaba yule anamlazimisha mapenzi kwa kumtisha na Bastola. Nilichomshauri binti huyo ni kwamba tutaweka mtego wa kumuadhirisha ili kuikomesha tabia yake chafu ya kuchezea watoto wadogo. Sasa ndugu zangu hapa ndipo ninapoomba msaada wa ushauri wenu nitumie polisi, majirani, ama mapaparazi?

Tayari jamaa amenasa na amehama mtaa, tuliweka mtego na mlinzi pamoja na majirani alipigiwa filimbi kama mwizi na kukutwa akiwa uchi wa mnyama. Nasikia ameamua kuagiza mkewe aje kwa kumdangaya kuwa msichana wa kazi alitaka kuchafua jina lake. Nawashukuru wote kwa ushauri mlionipatia.

unashukuru ili nini
tukuletee mpangaji mwingine kama huyo ama
sema kvijana vilikuwa vikikubania jiran mwenzangu unaishia kumnyanyasa jiran kwakumuaibisha hivyo ungekaa navyo vizuri vinafurahi kwa muda wao na wewe kwa muda wako baana sikunyingine hutokaa na jiraaani uwe mvumilivu
 
kila ukiwahi kurudi nyumban ukipiga kwa jiran jiran yuko busy anavishugulikia jikoni loh maumivu uyamalizie JF
pOLE LAKINI
 
Waoh; hongera kwa kazi nzuri, nina imani atajifunza. Yaani nawaonea huruma sana mabinti wa kazi, wengi huambukizwa migonjwa au kutiwa mimba na huachwa wakiwa nasikini mara 2.

Ni kweli Kaunga, ndo maana hata watoto wa mitaani wanazidi kuongezeka au vile vichanga vinavyotelekezwa ama kutupwa na mama zao.
 
kila ukiwahi kurudi nyumban ukipiga kwa jiran jiran yuko busy anavishugulikia jikoni loh maumivu uyamalizie JF
pOLE LAKINI

Duh!...........Pdidy kama ulikuwepo bana ukigonga kimya kingi na akitoka huko jamaa jasho hilo jicho jeekuuuundu.
 
Yale mahubiri unayotuleteaga ndo yanakuelekeza hivi? Wewe nawe akili yako inakutosha mwenyewe, kha!

Back
Top Bottom