Nahitaji ushauri: Ninataka kutengeneza DVD yenye collection ya misemo kuntu ya Rais wetu kipenzi Magufuli.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Wakuu salama?
Kama kichwa kinavyojieleza, sasa ninawaza kuikusanya misemo kuntu inayochekecha na kuburudisha ya Rais wetu Magufuli anayoitoa majukwaani.
Naona nitapiga pesa sana. Sasa suala la hatimiliki nitaliwekaje?
Je, naweza kuingia kwenye mikono salama ya vyombo vya dola kwa kufanya hivi?.
Lengo langu ni kujipatia kipato na kuhamasisha uwajibikaji kwa kila Mtanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom