Nahitaji ushauri: Nimepima sina mimba ila sioni siku zangu

Jamani ahaaa mtatutapisha sasa!!
Utapike kwasababu ya kukojolewa sh@ h@ w@ mdomoni akazinywa uzimeze? Kama ni ke bas bado hujapigama miti kisawasawa, kama ni me bas bado hujakutana na ke anayejua kunjunjana.

Unafyonzwa mkuyenge hadi unahisi kama unapaa maniiinaaaaaa weeeeee!!
 
Nizimeze ili nioteshe nini huko tumboni? Hapana linipite tu ilo.
 
Wala cogop mimba na wala co Mume wa mtu ila nmeuliza tuu maana naona vipimo vinaonesha negative na yey nmemwambia anasema haiwezekan iingie sababu nlikuwa makini kumwaga nje itaingiaje xaxa .! Na nlikuwa nxhamwambia kuwa nipo cku ya hatar akaxema ataweka umakin wa hali ya juu ila ndohvyo tena
Ha ha kwa uanaume wangu sijawahi kuwa makini kumwaga nje, nimwage nje kwa sababu gani?namwaga huko huko ndani nitakupa hela ya kununua P2, ukiamua kubebabyote heri
 
Unajua mpk sasa sijajua hii "kumwaga nje" mnamaanisha nini. Unaweza kunielezea kwa lugha nyepesi ya kibaiolojia?
Tumia 1.5 trillion kama mfano kwenye maelezo yako.
Babu una nini lakini? Hapo kwenye kutumia Trillion 1.5 nimecheka mno. BTW Ile maada ya kuongea Kiingereza iliishia wapi Za zile questions tags zako?Au Mods waliifuta nini?
 
subiri hadi siku kumi na nne zifike (hesabu kuanzia siku mliyofanya tendo la ndoa)

zikishafika zingatia namna ya kutumia hicho kipimo kwa sababu kama hujui jinsi ya kukitumia kinaweza kikakupa false negative results,

pia punguza stress mazingira dawa na chakula unachokula ni factor zinazo weza kusababisha mwanamke akachelewa kuona siku zake
amezini bro
 
Kukojolea nje unafikiri kazi ndogo!? Labda hakijakukolea sawasawa weeeeee!

Tena ukumbane na ile mnato kama ina sumaku kwa ndani inavuta ayaaaaaaaah!
 
Wala cogop mimba na wala co Mume wa mtu ila nmeuliza tuu maana naona vipimo vinaonesha negative na yey nmemwambia anasema haiwezekan iingie sababu nlikuwa makini kumwaga nje itaingiaje xaxa .! Na nlikuwa nxhamwambia kuwa nipo cku ya hatar akaxema ataweka umakin wa hali ya juu ila ndohvyo tena
sijaelewa
 
Habari zenu wapendwa,

Jamani wapendwa naombeni ushauri nimefanya mapenzi kwenye siku ya hatari lakini jamaa alimwagia nje, sasa tarehe ya siku zangu (bleed) imefika na sijaona siku (bleed) ikabidi ninunue kipimo nimejipima imeonekana (negative)

Lakini sasa hivi nina siku kama ya nne nimeanza kuhisi dalili za siku zangu (bleed) lakini cha kustaajabisha hadi leo sija bleed napata dalili tu na nikijibinya chini ya tumbo napata maumivu kwa mbali sasa sielewi tatizo nini.

Msaada tafadhali kwa anaeelewa
Mimba hiyo mkuu. Wahi kwa BASHITE udai gharama za matunzo.
 
Mpendwa kunasababu nyingi ya kutoona hedhi yako ukiachana na mimba.Mabadiliko ya mwili,mazingira,maradhi na mawazo pia yanaweza kuleteleza siku kuchelewa au kuwahi.Mimi ilishanitokea mara kibao na jibu halikuwa mimba.
 
Back
Top Bottom