richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,467
- 3,487
Ni wiki ya tatu sasa napata hamu ya tendo lakini nikiingia kwenye mechi sipati raha au stimulation yoyote.
Mwenzangu huwa anaugulia tu kwa raha anazozipata lakini mimi siskii raha yoyote. Nlijaribu kwenda hospitali doctor akaniuliza kama nimeshawahi fanyiwa tohara
Nikamjibu sijawahi kufanyiwa tohara
Nilipewa dawa lakini hazisaidii
Ushauri wenu