nahitaji unene | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji unene

Discussion in 'JF Doctor' started by sop sop, May 27, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jaman naomben mnisaidie njia gan au dawa ili ninenepe out of chakula
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mtafute JOHN komba akupe ushauri.
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  teh teh teh
   
 4. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kunywa bia kwa wingi na kitimoto kwa sana.:lock1:
  Pia pendelea vitu vya mafuta mafuta kwa sana.
   
 5. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  waone wachina, mabingwa wakunenepesha. Nashangaa wadada mmekaa kimya wakati mnafahamu dawa ya unene, na ninyi ni wateja wakubwa wa china, vp bwana acheni wivu!!!
   
 6. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  waone wachina, mabingwa wakunenepesha. Nashangaa wadada mmekaa kimya wakati mnafahamu dawa ya unene, na ninyi ni wateja wakubwa wa china, vp bwana acheni wivu!!!
   
 7. Atabase Agaya

  Atabase Agaya Senior Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wenzako wanakimbia unene, wewe unaomba unene! You should be crazy!
   
 8. d

  da flux Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  weka wazi ni unene gani unaoutaka?
   
 9. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  unene wa wastan mm nina miaka 20 so nahic kama umri hauendan kabsa na uzito
   
 10. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  tafta mafta ya nguruwe dumu mbili na ya alizeti dumu, changanya pamoja, jitahd vkombe viwil kutwa mara 3. Halaf utuletee majibu baada ya mwez mmoja
   
 11. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  wenzie wanakimbia matatizo wewe unayataka. Pole sana ipo siku utakumbuka haya maneno. Miaka 20 hata hujui matatizo ya unene unautak? Achana na hizo akili za foolish age utakuja juta wewe dogo:
   
 12. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nahisi haitaji hasa unene ila anataka kuongeza uzito inawezekana yeye ni underweight
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Si useme tu na ufunguke tu kuwa unataka unene wa kishuzi(masaburi).??
   
 14. papason

  papason JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Unatafuta unene karne hii ya 21??? pole sanaa!!!
   
 15. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Unene wa makalio au?
   
 16. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ushauri wangu nio mdogo sana...nenda kamuone DAKTARI hospitalini akusaidie na athibitishe kama wewe uko underweight au la...kuamza kula vyakula ma mafuta au kutumia madawa kichina unajiharibia na kujiua tu..kwanza una umri mdogo sana, inawezekana ni magroup tu ya watu wa rika lako ndio mnakaa kushauriana mambo kama hayo...so NENDA HOSPITALI KASEME TATIZO LAKO KWA DOKTA ATAKUSAIDIA NA KUKUSHAURI. ila dada ukae ukijua kuwa unene sio mzuri...
   
 17. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  haha..ur so fun, mwe!
   
Loading...