X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,620
- 1,796
Toka nje...(?)
Katoka nje...(?)
Toka ndani...(?)
Njoo nje...(?)
keleleni...(?)
Nyamazeni...(?)
Kaondoka nyumbani...(?)
Katoka nyumbani...(?)
Nilikuwepo sipo...(!?)
Sikuwepo....(?)
Nimemkuta hayupo...(!?)
Sikumkta...(?)
Kiza...(?)
Giza...(?)
Ninakulaga...(!?)
Ninakula...(?)
Na mwisho naomba msaada jinsi ya kuandika tarakimu hizi kwa kutumia alfabeti... au jinsi ya kuzitamka... 11,000 na 10,001
Matumaini yangu kuwa sitawakwaza na maswali hayo machache... Nawatakia wana JF mwaka mpya wenye amani na utulivu wa nafsi na akili.