Nahitaji Typist kwenye Secretarial Bureau

Strategizt

Senior Member
Oct 16, 2009
180
33
Kazi zilizopo ni:
  • Kupokea kazi kutoka kwa wateja kuzichapa na kuprint (Sifa: Uwe na uwezo wa kutype at least maneno 80 kwa dk.
  • Kuuza stationaries dukani
  • Kutumia mpesa,tigo pesa, n.k
  • Kazi zote za Secretarial Bureau mfano kufanya binding na lamination
Sifa:
  • Uwe na uwezo wa kuchapa kwa speed
  • Uwe muaminifu
  • Uwe na uzoefu wa kufanya marketing.
  • Kuwajali wateja
Mengine waweza kujifunza taratibu na Mshahara ni Makubaliano baada ya kuwasiliana.
  • Wasiliana na Mimi kupitia Number
    0622 083 236
  • Mwisho wa Tangazo hili ni tarehe 12/08/2016
 
Hayo majukumu yote mwisho wa siku uyaambiwa mshahara laki na nusu Eeh Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom