Nahitaji Truck kadhaa kwa ajiri ya kupeleka Mzigo Lusaka!

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,417
5,441
Wakuu!
Kama kuna mtu ana Transportation Company tunaweza kufanya biashara.

Kuna mzigo unatakiwa kupelekwa Lusaka, ni Furnitures&Building Materials.

40 feet Container
26 Tonnes each
Container 20 kwa kuanzia, zinatoka Dar.

Unaweza kunipa offer yako please.
0769535559
 
Uko Dar?mpigie huyu mzungu anafanya kazi Ako group ltd kuna kampuni dada inaitwa masly wana magari mengi we ukimpigia mwambie shida yako atakup maelezo,usiogope kwa kuwa ni mzungu,kampuni siyo yake ameajiriwa 0762498770.Anaitwa Roger Stringer.
 
Shukrani.
 
Back
Top Bottom