Mie nina Rav-4 Mayai nzuri mpya nimeishusha nataka milioni 15 unaitaka?
Jivutevute kaka uchukue ya hv, hautajutia!Bei iko juu sn wakuu mimi nahitaji ya 1998 mpaka 2000 kwa bajeti yangu wadau
hiyo ndo Rav 4 2002 model from UK,iko nchini Botswana, kama unahitaji tuwasiliane, +267 71642057 ama email: lyakudn72@yahoo.com, bei ni 15mil
Mayai nzuri mpya ya mwaka 2010?
ni ya mwaka 2002 haijagusa barabara bado.
Nimeiona ni ya ukweli huyu ndugu yangu kama ana extra money namshauri ajivute anunuenhiyoJivutevute kaka uchukue ya hv, hautajutia!
hiyo ndo Rav 4 2002 model from UK,iko nchini Botswana, kama unahitaji tuwasiliane, +267 71642057 ama email: lyakudn72@yahoo.com, bei ni 15milAttached Files
RAV4 2002.doc (346.0 KB, 25 views)
Hapo uongo kama haijagusa barabara sema ina km ngapi?