Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Wakuu.
Kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh lak 4 alafu nikivuna nakukabidhi laki 5, maana yake hela yoyote utakayonipa nikulimie shamba utapata faida ya 25%.
Ukitoa hela yako we hujishughulishi na chochote tena unasubiria hela yako tu, ikitokea kuna mafuriko au mazao yameliwa na wadudu yakaharibika mimi nitawajibika kukupa hela yako yote kama tulivyokubaliana, kwa maana nyingine hutapata hasara kwa namna yoyote ile.
KARIBU SANA