Nahitaji tenda ya kilimo

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
489
162
Wakuu.

Kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh lak 4 alafu nikivuna nakukabidhi laki 5, maana yake hela yoyote utakayonipa nikulimie shamba utapata faida ya 25%.

Ukitoa hela yako we hujishughulishi na chochote tena unasubiria hela yako tu, ikitokea kuna mafuriko au mazao yameliwa na wadudu yakaharibika mimi nitawajibika kukupa hela yako yote kama tulivyokubaliana, kwa maana nyingine hutapata hasara kwa namna yoyote ile.

KARIBU SANA
 
Wakuu, kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh.lak 4 alafu nikivuna nakukabidhi laki 5, maana yake hela yoyote utakayonipa nikulimie shamba utapata faida ya 25%. ukitoa hela yako we hujishughulishi na chochote tena unasubiria hela yako tu, ikitokea kuna mafuriko au mazao yameliwa na wadudu yakaharibika mimi nitawajibika kukupa hela yako yote kama tulivyokubaliana, kwa maana nyingine hutapata hasara kwa namna yoyote ile.. KARIBU SANA

Unaonaje mimi ntakupa shamba la kulima, wekeza wewe mimi nakupa ardhi, nipe 200,000 tu kila eka kila mwaka.
 
Unaonaje mimi ntakupa shamba la kulima, wekeza wewe mimi nakupa ardhi, nipe 200,000 tu kila eka kila mwaka.

mkuu mi lengo langu ni kuwasaidia wale walioajiriwa na ambao wapo bize na wanashindwa kuwekeza kwenye kilimo japo uwezo wanao na wanatamani kufanya hivyo
 
Toa cv yako na uzoefu wa kilimo, mazao uliyowahi kusimamia ukafanikiwa, ikitokea mazao yamepitiwa na mafuriko, au kutokana na unreliable rainfall ukapishana na msimu, utaweka mali gani kama insurance. uko tayari kwa maeneo gani nchi kubwa hii. Unauzofu na uwezo wa kuendesha mradi wa thamani au kiasi gani, elezea vizuri.

Ushauri tu.
 
ushauri mzuri, lakini makubaliano yote tutafanya mbele ya chombo kinachofamika kisheria, kwa hiyo kuhusu yote uliyouliza huwa tunayafanya huko, kuhusu maeneo ni popote pale ulipo hapa tz unanikabidhi pesa yako nakulimia na nakukabidhi 25% faida
 
mkuu mi lengo langu ni kuwasaidia wale walioajiriwa na ambao wapo bize na wanashindwa kuwekeza kwenye kilimo japo uwezo wanao na wanatamani kufanya hivyo

Na mimi ni hivyo hivyo, nipo bize na sina wakati wa kwenda kulima kwa sasa na shamba nnalo.
 
Unaonaje mimi ntakupa shamba la kulima, wekeza wewe mimi nakupa ardhi, nipe 200,000 tu kila eka kila mwaka.

Laki mbili yote ya nini wakati shamba Za pembezoni mwa mto zinakodishwa 20,000 kila kona ya TZ
 
Wakuu.

Kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh lak 4 alafu nikivuna nakukabidhi laki 5, maana yake hela yoyote utakayonipa nikulimie shamba utapata faida ya 25%. ukitoa hela yako we hujishughulishi na chochote tena unasubiria hela yako tu, ikitokea kuna mafuriko au mazao yameliwa na wadudu yakaharibika mimi nitawajibika kukupa hela yako yote kama tulivyokubaliana, kwa maana nyingine hutapata hasara kwa namna yoyote ile

KARIBU SANA

TZ ni wagumu bado issues Kama hizi Mara nyingi hufanyika Kwa njia ya contract farming na zimewapa Wakenya wengi maendeleo nafikiri kwetu bado uelewa mdogo.
 
Wakuu.

Kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh lak 4 alafu nikivuna nakukabidhi laki 5, maana yake hela yoyote utakayonipa nikulimie shamba utapata faida ya 25%. ukitoa hela yako we hujishughulishi na chochote tena unasubiria hela yako tu, ikitokea kuna mafuriko au mazao yameliwa na wadudu yakaharibika mimi nitawajibika kukupa hela yako yote kama tulivyokubaliana, kwa maana nyingine hutapata hasara kwa namna yoyote ile

KARIBU SANA

Uko wapi kaka?
 
Kuna kitu kinaitwa natural catastrophe. Huoni unajiweka kwenye risk kusema hiyo itakuwa juu yako?
 
Nafasi bado zipo, mpaka sasa nina watu wawili wamenipa jumla ya ekari saba yaani milion 2.8 na wapatat faida ya 25%,. njoo usiogope, ukitoa hela yako huzunguki mtaan, huumizi kichwa we unatulia tu kusubira faida yako 25%
 
Nafasi bado zipo, mpaka sasa nina watu wawili wamenipa jumla ya ekari saba yaani milion 2.8 na watapata faida ya 25%,. njoo usiogope, ukitoa hela yako huzunguki mtaan, huumizi kichwa we unatulia tu kusubira faida yako 25%
 
Back
Top Bottom