Nahitaji Switch haraka...!!!

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Habari wana jamii, natumai post hii imewakuta salama.
Ninahitaji a 32 or 48 port switch(100Mb/s or 1Gb/s), managable prefare, any of the below makes also prefared

Dlink
intel
hp

Bei iwe ya mtanzania tafadhali
 
Mkuu nina Cisco 2960G 48 ports mpya kabisa katika box.kama uko serious nicheki kwa PM
 
kaka samahani lakini nimepat ya netgear leo asubuhi mwana jamii ameniletea

nashukuru sana wote kwa muda na mchango wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom