Nahitaji Suzuki Escudo kwa mil 6. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Suzuki Escudo kwa mil 6.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jaluo_Nyeupe, Mar 17, 2012.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wana JF,
  Nahitaji kununua suzuki escudo milango mitano, iwe kwenye hali nzuri. mwenye nayo ani pm au kunipigia kwa number hizi.
  0788 446622.
   
 2. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  jaluo nyeusi unataka kwenda moshi pasaka?
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  eeeh! si unajua hii ni nzuri sana kupanda milima ya kule marangu. Unayo uniuzie?
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huwezi pata mkuu kwa bei hiyo labda scrpa
   
 5. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Naweza kupata kwa bei gani? Au kama unayo ni kwa bei gani?
   
 6. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ipo Mtwara, kuna mtu anayo anataka 7m. piga 0783484278 maongezi yapo
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Poa mkubwa nita contact naye.
   
 8. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mkuu ninayo RAV4 MILANGO 5 kama unahitaji tuwasiliane 0714812375
   
 9. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Poa mkuu, nitacheck.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungemalizia kimasawee ndio watu wangekuelewa fasta showroom ujaziona..
   
 11. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  nimeziona mkuu ila nimeshindwa kufika bei mkuu ndio maana nikaja kuulizia hapa JF kama kuna mtu anauza kwa bei hiyo.
   
 12. M

  Malolella JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nina jamaa yangu anaitwa Meshack Ouko anauza kwa 6m. Ngoja niongee nae then nitaku pm.
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  poa, ongea naye then nasubiri pm yake.
   
 14. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  bado sijafanikiwa jamani.
   
 15. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mbona umeingia mitini??
   
 16. T

  Takayangu Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mm ninayo suzuki escudo helly hensen ni3doors ,manual, petrol engine,AC,CD player vinafanya kazi,rangi darkblue metalic inatembea 1lt=12km na mpaka sasa nimetembea nayo ina km 73elfu. Kama upo interested ni pm tuongee kiutuuzima.

  ufanye biashara
   
 17. Mseriandy

  Mseriandy Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahitaji subaru Forester 4WD yenye Turbo - kms 70,000 mpaka 120, 000 - year 2002 to 2004

  Kuna mawakala wa kuagiza magari nje na kusajili na kuuza.

  Pia wapo watu binafsi wanafanya biashara

  naomba kujua bei yake ili niandae budget.
   
 18. E

  Esther Kimario Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ANZISHA UZI WAKO! Huu umeanzishwa mtu akitafuta kimasawe... Anzisha na wewe kwa ajili ya hiyo subaru lol!
   
Loading...