Nahitaji suppliers wa mayai ya kisasa

ki29

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
206
224
Habari za muda huu wakuu,

Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, nahitaji suppliers (wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100, 200, 300, 400, 500,6 00 na kuendelea kwa week. Nipo Dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji. Mawasiliano ni-PM namba.
 
ki29, Kama ni chini ya hizo tray huchukui? Na unanunua kwa shilingi ngapi kwa tray na usafiri ni juu yako?
 
Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba

Unanua shilingi ngapi kwa tray?
 
Weka namba hapa nimpatie mtu namba yako.

Wengine hata hawaingii huku wala hawana account.
 
Nipo Mbeya ninauwezo kwa siku tray 30. 0788871919, karibu sana.
 
Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
nipo hapa trey 500/800 kila siku.
 
Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
0688802045 na 0621290458
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom