Nahitaji spare za Blender

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,894
3,421
Kuna Blender Aina Ya Sansang Nilinunua Mmwezi Ulipoti Lakini Jagi Lake Linavuja Je Kuna Spea Ya Jagi Na Zinapatikana Wapi.,, Au Mpaka Nini Nunue Blender Mpya
 
Wengine mnalazimisha kusaga mavitu magumu kwa nini isiharibike!!!

kifupi spare nasikia huwa zipo "used" ila sijui wapi zinapatikana. Ila ushauri ni kununua mpya tu.
 
kama upo dsm magomeni mwembe chai kuna jamaa anauza spare used za blender mbalimbali
 
Back
Top Bottom