Nahitaji solar ya kuwasha TV 24hrs na kuwasha taa saba kwa angalau kwa masaa sita. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji solar ya kuwasha TV 24hrs na kuwasha taa saba kwa angalau kwa masaa sita.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kibirizi, Sep 23, 2012.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Habari za wakati kama huu, naomba msaada wa kujua nichukua solar panel ya ukubwa (watt) gani ili iweze kutosheleza mahitaji tajwa hapo juu. Pili inabidi niwe na vifaa gani ili niweze kuitumia hiyo solar.
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,041
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Je tv yako ni wat ngapi ? Taa unazotaka kufunga aina gani ?. Za ac au dc ?
   
Loading...