Nahitaji Simu haraka kwa bei 100,000

Acha ubishi Wewe Dogo hiyo simu inashida gani??
Simu original kabsaa hiyo
Unaleta ubishi kama ngoz ya goti
Sikutafutii tena simu
Watu Wajinga kama Wewe siwapi dili tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa jf raha sana.....

Ila mwisho wa siku namsihi mtoa mada awe makini na simu za wizi.....
Waandikishane tena ikibidi hata am record na biashara ifanyike nyumbn kwa muuzaji...

Ni week mbili tuu tumemtoa mdau selo
kwa dhamana asaiv anatafta M7 na Amepeta TB juu kwa kisimu cha Laki na nusu...

Hapa anaweza ni maneno tuu ila akitaka vitendo vinapatikana live....

Unaona sasa
Mi nampa simu safi original kabsaa
Hutaki muache atafute hizo za wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijafanikiwa
Nikuuzie hii na chaji unapata
IMG_20200111_205801.jpeg
IMG_20200111_205809.jpeg
 
Habari wakuu,

Nahitaji simu original kabisa haraka sana iwezekanavyo, budget iliyopo ni pesa ya Kitanzania shilingi laki moja (100,000)
Napatikana Dar es salaam
Aina ya simu inayohitajika ni miongoni mwa zifuatazo:

• Samsung Galaxy S4
•Samsung Grand Prime pro
•Tecno Camon CX Air
•Samsung Grand Prime (bei inaweza pungua)

Note: Bei inaweza kushuka na sio kupanda, wanaohitajika kuni PM ni wale tu wenye simu nilizoziorodhesha hapo juu.

Matapeli na wenye simu fake wasipite kabisa katika uzi huu.
Kwa hela hiyo utapata Tecno na Itel tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom